Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Wakukuoa naye utamtoa wapi? Sikuizi hatuoi tunakula nakusepaaaa
Sitaki ndoa zenu.
Nahitaji heshima mimi sio yule katoto kadogo nimekuwa sitaki comment zenu za stress na hitaji nikitaka kuolewa ninajua wakunioa siko desperate na wala siitaji kupewa stress.
Nakama mimi nikibibi kuna vibabu wananipenda jinsi nilivyo mbibi zamani nilikuwa nataka kuolewa sijui mchumba sijui mume sijui nini ila now this is me siitaji stress kama kuna mtu kasema na danga alete mrejesho na tukio kamili na hela kanipia wapi kwa maana mimi ni mtu najiheshimu nakujitambua .
 
Utoe jasho kumla means ugharamie
Okay..Kugharamia hatujakataa ila ni vyema kukubaliana tu kama tunauziana ili kila mtu aridhike. Mambo ya kuombana siuji vocha, sijui hela ya pedi iingizeni kwenye invoice ambayo tunakubaliana
 
Kama unayo ungemwambia nakukopesha na sema siku gani utarudisha na sitegemei kupata chochote kwako zaida ya pesa zangu,ule msemo wa kihenga eti mwanamke adaiwi ubaki na wahenga.
 
Kibaya nikusingizie na kuna mahali uliniona nakusema??? Tafadhali usinibandike mizigo yangu mwenyewe siiwez natafta wa kumtwisha,jaribu kubadilika katoto sawa?
Wewe ulisema nipunguze utoto nimekuwa nasasa nahitaji heshima mtu akikoment awe kama wewe shida iko wapi ?
Unakuta mtu ni mwanaume ana 40 years old anamtukana mtu 20 something kama kauwa mtu kwanini wasiwe wapole .
Mimi nimtu mzima sasa nakweli nahitaji respect.
 
tueleze
 
My dear labda ni wewe mwenyewe unavyojiexpress humu!

Kuna wanaume wamekupa madongo sana tu humu coz huwa unawatukana! Halafu una tabia ya kuattack watu from nowhere hebu jichunguze vizuri....badilika my! Hebu jaribu kuwa positive!

Nikikuuliza swali mi umenitukania nini? Kwenye huu uzi kuna mahali nilikutukana?
 
Ukiwa unataka kubadilika utaanza wewe ndani yako kisha matendo ya nje hufata

Wasema umebadilika but bado uko vile vilr niseme tu sasa hivi ndio inekua too much,mara utuage mara uje hivi mara vile hueleweki tukushikeje hua najaribu kukuelewa ila nashindwa ukijiheshim utaheshimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…