Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Eh ila wala sijajali couze unayatoa motoni yasikupe presha ila mimi sipendi watu wanaosema watu vibaya ndio maana nawajibu vibaya siku zote ukimjibu mtu vyema utajibiwa vyema.
 
Haaahaaaa aseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nikusahihishe, usifananishe jf na fb hata mara mbili, ever since nimekua humu najihisi kudevelop busara mara mbili, imenifanya nijue mambo kibao ninekua na uelew mpana sana yote ni jf kikubwa zaidi s unajua na ba mjengo nimempata humu?? So ipe jf heshima yake usiifananishe na fb kabisa

Shida moja utagombana na wangapi kama kila mtu wamjia juu, jaribu kutake it easy kila jambo lichukulie kwa namba ya kujenga sio kubomoa, of course katoto mi naishi maisha yangu na vile naamini humu na hua nachangia according to me sasa na wewe UBADILIKE.
 
halafu mtu anapokuambia madhaifu yako au makosa yako faham anakupenda anataka ubadilike mwenzetu haelewi hivo
Ewaaa...yy anahisi eti tunamchukia, sijui tuna mabwana atatuchukulia humu, mara tunamdharau yaani!....ni ana mawazo ya unegative tu kichwani mwake!

Aliyemtenda Mungu anamuona!
 
Marvellous advice!.... Asipoelewa na hapa basi tena!

Shetwain anampenda zaidi!
 
Hela tu kuna wengine wanakuomba hela na bado geto anakuja kupika na bado anakula mkilalana anakupa mambo mmpaka unakimbia umuiti tena.
Wa dizaini hii yako nitamhunga hadi shamba la urithi ila akianza kuleta vigisu vigusu ni kusepa tu hamna namna .[emoji23] [emoji111]
 
Nimebadilika my hujui tu
 
Kama mnavyoomba na sisi tunaomba. Ila kuomba baada ya kupewa namba ni jambo la ajabu na la kipekee lazima uso uvae sura ya mbuzi au uwe kauzu kama dagaa
Mimi napendaga hao wanaoomba straight baada ya kubadilishana namba,nakula nasepa,lakini ka nakupenda ntakushangaa na lazima nijiulize vimaswali kichwani.
 
Huyo huyo shougar....cheki btn the lines vichambo vyake kwangu, unganisha na siku ilee Uzi mrefu utagundua kitu!


Haaahaaaa....yaan nimecheka kinoma!
[emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeunganisha dot nimepata jibu sahihi

Anafurahisha sana wallaah tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…