Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
- Thread starter
-
- #21
katoto kazuri napata tabu kuelewa meseji zako..Au nna usingizi nini. Hembu ngoja nilale aisee nikiamka nirudie kusomaBora lipi uolewe humu naunyewe nawanaume au uolewe naunyewe na mzungu.
Lipi bora
Mnadharau sana ndio maana dah naona hata nimehairisha kuolewa humu ni kero .Aisee naona hapo hadi mate yanakutoka..Si kwa maneno hayo
Nakuona mzee wa oil chafu..Achana na hiyo michezo brotherMimi nitampa kila kitu ila na yeye lazima anipe kila kitu. ..kila kituuuuu bia ubishi. ..hata konki konki nikiitaji iwe powaaaa
Usihame bana..Mimi najua wewe hudangi,unatoa ukiamua na pia huombagi helaMnadharau sana ndio maana dah naona hata nimehairisha kuolewa humu ni kero .
Tu bora niolewe kwingine.
Naondoka jf nimechoka kuitwa malaya na kila mtu.
Dah hamnijui mnaniita mdangaji hadi wadada wahumu waniona mdangaji.
Ngoja nihame nchi hii niende mbali.
Muhimu sana hiyo kitu..sasa manzi anapata kila kitu kwanini na yeye asitoe kila kitu? Konki konki for life!Nakuona mzee wa oil chafu..Achana na hiyo michezo brother
lady pitia nyuzi zako zote humu Jf halafu utapata jibu kwa nini uonekane hivyo.Leo ndio mwisho wakuwa jamii forum napenda kuwaaga wote kupitia uzii huu ngoja nijitoe humu kabisa siku moja kunamtu atatoa picha zangu kwania mbaya akisema huyu ni katoto kazuri nikadangaji nahuku mimi nimtu najiheshimu familia yetu niwatu wa maadili na wameshika dini.
Watu wakikudis sio poa tena ambao hawakujui so kwa herini this time it's for real.
Hahaaaa. Hatari sana DadaPole mkuu unakutana na wa kufanana nao unaombwa mpaka elf 3 na 400 hiyo ni ya kutolea au
Waambie wamezidi ubahili, mie nilikuwa napigiwa hesabu naambiwa kutoka ubungo hadi mbezi ni 1000 kwa m/kasi na 800 hadi kibaha unatumiwa 5000 nikaona upuuzi huu na mtu ana kazi hapo ila ubahiri wa hivi mm sipendeleiKama huna hela ndo utaumia,kuna kipindi nilikuwa sitaki hata kutongoza kwa sababu nipo vibaya,ila ukiwa na hela unajiamini na unakula kirahisi bila hata kuhonga maana una confidence na unaonekana tu una hela.
Sasa mtoto wa watu anatoka mbezi anakuja kibaha kwa nauli ya 15,000 uliyomtumia na humpi chochote kwanini asichukuliwe na mtu anamfuata kwa usafiri na kumrudisha kwa usafiri na kumwachia elfu kumi.
Ukiwa na hela wanawake watakuja wenyewe kwasababu bila hela hawapati care yoyote,atanuna kwa week shida zikianza utaona msg "baby nimekumiss nataka nije"
Eti unamuomba ombaga Mr pesa
Hahaaaa. Hapana siombi huwa napewa tu.Eti unamuomba ombaga Mr pesa