ππππ lol.Unakula nini mwana
Au atakua rastafaria nini..Haaahaaaa...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maana mpaka umkute mtoto wa kike anatumia neno wana ujue mgumu hasa...
Mtani ni kawaida tu ,nazitafuta kwa ajiri yake ,halafu mtani we mchokozi pia mchochezi, hahahahaEwaaaaa. Huko ndio kujali sasa Mtani sababu kikawaida shida hazijawahi tosha.
Yaani hata kama tunazo nyie tuongezeeni tu.
Wakikupa niletee..
Mim hutoa kile nilichobarikiwa nacho.Very true....eti na wewe hutoagi heka best ake?[emoji23] [emoji23]
Tupeane vitu vitamu hivyo mwanaππππ lol.
Kwamba usipokuwa na option ndio...?Kumbuka kwa wale wasio na option kwenye maisha yao.
Nakuona mzee wa oil chafu..Achana na hiyo michezo brother
[emoji23]tongoza wa Jamii forums ma boss lady
Wewe ni mchagga?nitaalaniwa na wachaga kumpa mwanaume hela
Mademu wote JF mabosiledi.Mafiiii ya mbuzi. Ubosslady kwenye kuandika eeh.. kuna mshkaji wangu mmoja aliogopa kumfuata mtu pm humu kisa anamuogopa ana hela kwa anavyojisifiaga huku. Nikamwambia acha woga wewe katongoze achana na maandishi wengi wanaigiza
Ahaahaaa[emoji23]Au atakua rastafaria nini..
Hahahaaa wew sio wa leo.Hahahaha, mie wa jpili bana
Hahaaaa. Wachaaaaa.Hahahaha, nasoma mdg mdg mtani
Una maneno ya busara sana rafiki...na umeongea vyemaMim hutoa kile nilichobarikiwa nacho.
Uzuri wangu sio mara nyingi hutoa hela ila natoa ambavyo najua nikimpa mtu hufurahia zaidi ya hela japokua hela nayo inanafasi yake.
Ukiamua kua katika R/S kusaidiana ni muhimu ila wengine wako kitamaa zaidi.
Sikua na bundle nimekosa offer kizembe zembe. Laki hiyo imeniumaa mpaka nimepiga ukunga
Amiin Insha Allah. ππAtubariki kwa sote...Amin[emoji120] [emoji120] .
Nimekaribia lete maoni sasa[emoji1] [emoji1] .
Konki konki konki master mzee wa kupima oil chafu a.k.a dudu a.k.a mamba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Konki master sio? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo tuwe tunaomba ngapi? kwanza tunaombaga kutokana na uwezo wenu. Unataka nikuombe million 3 ya kodi utanipa?