Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Very true....eti na wewe hutoagi heka best ake?[emoji23] [emoji23]
Mim hutoa kile nilichobarikiwa nacho.

Uzuri wangu sio mara nyingi hutoa hela ila natoa ambavyo najua nikimpa mtu hufurahia zaidi ya hela japokua hela nayo inanafasi yake.

Ukiamua kua katika R/S kusaidiana ni muhimu ila wengine wako kitamaa zaidi.
 
Una maneno ya busara sana rafiki...na umeongea vyema

Kudos!
 
Back
Top Bottom