Hahaaaa. Ila nimecheka huo upokeaji wa salamu yangu. πππSalama salimini jirani... Nafurahia uwepo wako.
Natumai u buheri kabisa[emoji1488]
Jamaa wanahamia huko January, so nikaona nisipitwe nami niwe in BETA mode....
Hahahahahah mkorofi wewe ujuwe. Ila nawewe nimefurahi umekuwa enlighten fastaa[emoji102]Huyu atakuwa mhasibu mambo ya accounts PAYABLE na accounts RECEIVABLE....Hahaa[emoji23] [emoji23]
Mkuu bila kunisahau na mim sina hela.Hahahaha, tusio kua na hela humu ni mm na wewe tu Mkuu,tubaki wasomaji
Hatuna cha kufanya rafiki mwisho wa siku tunalog out na kuendelea na maisha zingine.Ili siku ziende eti....tufanyeje sasa[emoji23] [emoji23]
Heeee. Hahahahaaaaaa.Thanks
Daaah[emoji12] [emoji12].... huyo he deserve it kwakweli!Hahahahaha.. Yani mtu anakusaidia bila conditions wala nini anakugharamia jamani na haoneshi hata uchu wa papuchi yako he takes his time kushughulikia mambo yako jamani mkaka mwenyewe bosi bosi fulani hivi afu kwao wana hela chafuuu... mimi ndo kipindi hiko nimeanza kazi natoa toa macho tu ndokwanza Mshahara wa kwanza sikupataga 2 months nalala kwenye kigodoro cha kupewa tu tena chinii lol ... haaaaaaaa automatic nikajikuta natamani anikule tu make nilijikuta nimemzoea sana sana na he cared about me.... make mtu anakusaidia afu hakuombi hata kwakweli mungu ambariki mno mno
cc Smart911
Wewe si ndio umesema unatuma moja kwa moja kutoka bank account?Hahahaha, tusio kua na hela humu ni mm na wewe tu Mkuu,tubaki wasomaji
[emoji23] [emoji23]Hahahaaaaaa ukisikia statement "NIKUAMBIE KITU..." jua invoice inasubiri kuwa printed
Hahahahahah cheko la kheri au la makidai[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaa. Ila nimecheka huo upokeaji wa salamu yangu. [emoji12][emoji12][emoji12]
Mie niko poa jirani sijui wewe?
Sina habari ujue. Wachaaaa.
ππππ nimeikumbuka id moja hivi Mtani.Hahahaha, tusio kua na hela humu ni mm na wewe tu Mkuu,tubaki wasomaji
Ofcourse lazima uangalie kipato cha mpenzi. Na pia na wewe umpatie kulingana na kipato chako.Kind service haiwi requested. Ukiona kila mara unaomba kuhudumiwa; chunguza CASHFLOW ya bwana/mpenzio kama ipo STABLE basi kuna walakini ila kama haipo STABLE vumilianeni na pambaneni ili mnivune.
Nakubaliana na wew kabisa.Oooh ok.... Nimekuelewa!
Yah inakuwa hivo mara nyingi but nasisitiza sio wote mkuu!
Binadamu kiumbe tofauti sana!
Wewe si ndio umesema unatuma moja kwa moja kutoka bank account?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeikumbuka id moja hivi Mtani.
miminimkulimaakachekasana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui nimeipatia. [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana kayapenda mwenyewe siyo[emoji3]Ofcourse lazima uangalie kipato cha mpenzi. Na pia na wewe umpatie kulingana na kipato chako.
Kama ni mpenzi wako wa kudumu mnaweza kuwekeana utararibu lkn ni mpango wa kando mkuu ukiombwa vumilia usilalamike. So inategemea ni aina gani ya uhusiano
Sasa si ukapike vitumbua uipate,elfu kumi haitoshi unategemea kuombaElfu kumi ndio nini bora mtu atoe bure tu.
Dah utaila au utaitupa njiani.
Elfu kumi hata nauli haitoshi .
Sijadharau mnatudharau nanyie wadada aibu zenu hata kama unanjaa bora utoe bure .
Ule kwa mshikaji uombe hata kashopping.
Acha hizo wewe...[emoji23] [emoji23]Niongeze na mm mkuu...Uzuri sitaondoka nayo, wewe kazi yako ni kutupangia ratiba tu.