Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Duuh! Ulijua kukata shingo Mkuu.

Hivyo ukamchooora.
 
Sasa kama unapenda hela zako wao hawapendi miili yao?
Kama hela yako ina thamani kaa nayo ndani halafu uone kama kuna mtu atakuja kukuomba.
Mnapowatafuta watoto wa watu mnajisifisia mambo mazuri mkiombwa jero tu mnababaika.
Kwa hiyo usijifanye kidume,ela zetu tumetafuta kwa maumivu makubwa sana ,alafu ww unakuja kichwa kichwa humu,napenda ela zangu na ndo maana nazieshimu sana.
 
Namiliki akili zangu timamu ambazo haziwezi kunituma nikuambie namiliki nini kwenye vitu ambavyo ukivijua havitakusaidia na kabla sijaulizwa nataja.
Wenye navyo hawataji mpaka waulizwe tena sio hapa.
Haaahaaaa....[emoji23] [emoji23] [emoji23]


Ila leo mmejua kunivunja mbavu[emoji23] [emoji23]

Hajar
 
Kumbe alikuwa msweet wako Smart?... [emoji15] [emoji23] [emoji23]



Hahahahaha.... Smart911 tumetoka mbali sana huyu mwanaume tuna visa visa tumepitia acha kabisa...

tulianza kwa kugombana humu balaa sitasahau ule uzi... mwanzoni mwanzoni nisharudisha miamala yake miwili huwezi amini... he was doing that Ile kunisaidia toka moyoni mimi nahisi anataka kitu huyu how comes a stranger anisaidie hivi?? Nawaza Si atanila mpaka nywele za kichwani huyu???? God bless you Smart911
 
Aaaah wqpi[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] ...accounts imekukolea hadi ACCOUNTS CONCEPTS zimegoma kukuacha salama[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha acha ukachero basi...

Angalia ID na Avatar utapata jibu[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…