Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Imagine huyu hajar hakunifanyia vizur hta kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Weee kweli?[emoji23]
duuh huyo itakuwa anafanya kazi kwa mkaguzi wa hesabu wa taifa ".. CAG .. sio kwa ubahili huoWaambie wamezidi ubahili, mie nilikuwa napigiwa hesabu naambiwa kutoka ubungo hadi mbezi ni 1000 kwa m/kasi na 800 hadi kibaha unatumiwa 5000 nikaona upuuzi huu na mtu ana kazi hapo ila ubahiri wa hivi mm sipendelei
Mnadharau sana ndio maana dah naona hata nimehairisha kuolewa humu ni kero .
Tu bora niolewe kwingine.
Naondoka jf nimechoka kuitwa malaya na kila mtu.
Dah hamnijui mnaniita mdangaji hadi wadada wahumu waniona mdangaji.
Ngoja nihame nchi hii niende mbali.
Asante kwa promo.....kunywa maji kidogo ewww!Yeap hapo ndipo tulipo siku si nyingi tutatoka hapo tunahamia 5G...na ssa iv utaona kuna VoLTE ambapo ni upgradings za LTE kuwezesha mtu kumake calls thru internet kama ilivyo whatsp u can make calls over LTE network.
Hiyo avatar ni logo la Android 9 aka Pie... It expected to be available thru some of devices around January 2019....
Kuna lingine?
Umeonaeeee. ππππHaki nimecheka sana...kathibitisha mwenyewe umbea wao[emoji23] [emoji23] [emoji28]
Uzi gani huo dada akeeWallahi vile sikuchangia. Kuna muda Shunie alinitag ila nikamute kama uzi sijauona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zile huwa naziita nyuzi chonganishi hazikawii kuchonganisha watu mwisho wa siku wewe uliyedandia ndio unaangukiwa na jumba bovu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakubali..[emoji23]Mwaego ndo nin tena?
I'm here sweetie pie ".... nacheka tu na comments za huu uzi "... missing uNimekumiss konki wangu jomoniiπ
YaaniUmeonaeeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhahahahahaha sifanyi biashara best... Just tu nilitaka ujue tu uTEHAMA wangu uko api na matumiz ya hizo nakili zangu[emoji851]Asante kwa promo.....kunywa maji kidogo ewww!
Na usisahau angalau kuwapa jf kalaki kwa tangazo lako....
Aaaaa sasa bora unifunze tu na hayo mengine.Nakubali..[emoji23]
Haaahaaaa haaaa....nakuelewa mkuu pamoja!Hahhahahahahaha sifanyi biashara best... Just tu nilitaka ujue tu uTEHAMA wangu uko api na matumiz ya hizo nakili zangu[emoji851]
Kalaki nitakaangalia kama kapo kwenye disposable income yangu[emoji23][emoji23]
Hahahaha, Mkuu wakikubali naomba nikusindikize siku hyHhhh sio mim huyu ni shibe hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Halaf nyinyi wew na hajar mungu anijaalie tu niwafaham.
ππππ Mtani kuchokozwa lazima. Wajua tena jf ni sehemu ya kufurahi Mtani.Hahahaha, Mtani ndio maana nilikuambia we mchokozi ujue
Sawa nitakutag usijari Mtani Wangu
Haahaa....uko zenji kunakuharibu[emoji23] [emoji23]Aaaaa sasa bora unifunze tu na hayo mengine.
Ningesema unifunze ungetaa haya sasa bismillah uje kunifunza.
Amani sana mkuu.... Afu kama mwisho wa wiki hivi ee[emoji85]Haaahaaaa haaaa....nakuelewa mkuu pamoja!
Sister sister hali yako.Uzi gani huo dada akee
Hahaaa. Tumpe muda kwanza rafiki.
Duh, namba mia mbili tu kwenye simu,au namba mia mbili za kuombea bukubuku,afu 150wakatoa,wadada msilalamike tena life is too easy.Mwanamke anaweza akawa na number 200 za wanaume kwenye simu yake.. na kila mmojae akamuomba buku ya vocha assume 50 wakasema hawana 150 wakakubali 150x1,000= 150,000 kwa siku assume anaomba mara tatu kwa week 150,00x3=450,000 kwa week...
Wanaume tuzinduke