Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Mwanamke anaweza akawa na number 200 za wanaume kwenye simu yake.. na kila mmojae akamuomba buku ya vocha assume 50 wakasema hawana 150 wakakubali 150x1,000= 150,000 kwa siku assume anaomba mara tatu kwa week 150,00x3=450,000 kwa week...

Wanaume tuzinduke
hahaha " mna wasiliana na watu Kama hao wakazi gani sasa aisee
 
Hhhh sio mim huyu ni shibe hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Halaf nyinyi wew na hajar mungu anijaalie tu niwafaham.
Hahahaaaa. Lol.

Kishaa siku moja wabadili Id halafu waja nauzi ooh. Hajar kizee, ooh. Hajar ana mapengo basi tafrani. 😂😂😂😂

Au tukijishaua watuchoora na kusema lait wangewajua. 😂😂😂😂

Hatari sana.
 
Wewe ulisema nipunguze utoto nimekuwa nasasa nahitaji heshima mtu akikoment awe kama wewe shida iko wapi ?
Unakuta mtu ni mwanaume ana 40 years old anamtukana mtu 20 something kama kauwa mtu kwanini wasiwe wapole .
Mimi nimtu mzima sasa nakweli nahitaji respect.
Zaa watoto wakuheshim acha kudandia heshima za watu.
 
Hahahaaaa. Lol.

Kishaa siku moja wabadili Id halafu waja nauzi ooh. Hajar kizee, ooh. Hajar ana mapengo basi tafrani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au tukijishaua watuchoora na kusema lait wangewajua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hatari sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wallah nacheka sana.

Mbona hujiamini wewe hhhhh.
 
Kasi ya mwendo wa 4G[emoji23]
Yeap hapo ndipo tulipo siku si nyingi tutatoka hapo tunahamia 5G...na ssa iv utaona kuna VoLTE ambapo ni twerking za LTE kuwezesha mtu kumake calls thru internet kama ilivyo whatsp u can make calls over LTE network (so LTE ni hardware ambayo inakuja na simu while VoLTE ni software inapatikana baada kuupgrade software system kwa baadhi ya high end devices).


Hiyo avatar ni logo la Android 9 aka Pie... It expected to be available thru some of devices around January 2019....

Kuna lingine?
 
Back
Top Bottom