witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Haki nimecheka sana...kathibitisha mwenyewe umbea wao[emoji23] [emoji23] [emoji28]Hahaaa. Lol
Wity hebu njoo uthibitishe hii kauli rafiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki nimecheka sana...kathibitisha mwenyewe umbea wao[emoji23] [emoji23] [emoji28]Hahaaa. Lol
Wity hebu njoo uthibitishe hii kauli rafiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, Mtani ndio maana nilikuambia we mchokozi ujueHahahaa. Usijali Mtani.
Utanitag tu ili nijue unatumia njia gani kumpatia njuruku. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Sio tabia nzuri....kwani wanawake wa jf wanatoka Jupiter?[emoji15] [emoji23]Yaani sipati picha huyo Dada ana hali gani huko aliko akisoma hii kitu kwamba jamaa kamchooraa mpaka basi.
hahaha " mna wasiliana na watu Kama hao wakazi gani sasa aiseeMwanamke anaweza akawa na number 200 za wanaume kwenye simu yake.. na kila mmojae akamuomba buku ya vocha assume 50 wakasema hawana 150 wakakubali 150x1,000= 150,000 kwa siku assume anaomba mara tatu kwa week 150,00x3=450,000 kwa week...
Wanaume tuzinduke
HahaaaKazi anafanya lakini MTU hachoki kuomba omba sijui akili zao zina matatizo gani..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] unapenda ban weweHahaha huu sio wakusoma utakua ni wakawaida tu,sijaona watu hata wakizungumzia ban[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hajar aliniondoa hta katika friend zone[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Hahahaaaa. Lol.Hhhh sio mim huyu ni shibe hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Halaf nyinyi wew na hajar mungu anijaalie tu niwafaham.
Zaa watoto wakuheshim acha kudandia heshima za watu.Wewe ulisema nipunguze utoto nimekuwa nasasa nahitaji heshima mtu akikoment awe kama wewe shida iko wapi ?
Unakuta mtu ni mwanaume ana 40 years old anamtukana mtu 20 something kama kauwa mtu kwanini wasiwe wapole .
Mimi nimtu mzima sasa nakweli nahitaji respect.
Ila kweli mwaegoUnajua humu ni kma tupo kijiweni.
Sasa lazima ukiwa kijiweni upate story ya kuhadithia.
Acha basiii yakutolea hapo wamaanisha kapigwa mzinga wa laki 3.... !!! hahaPole mkuu unakutana na wa kufanana nao unaombwa mpaka elf 3 na 400 hiyo ni ya kutolea au
Kasoro mm tuMademu wote JF mabosiledi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wallah nacheka sana.Hahahaaaa. Lol.
Kishaa siku moja wabadili Id halafu waja nauzi ooh. Hajar kizee, ooh. Hajar ana mapengo basi tafrani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au tukijishaua watuchoora na kusema lait wangewajua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sana.
Weee kweli?[emoji23]Hajar aliniondoa hta katika friend zone[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Amesema ameshajaza.
Nimekumiss konki wangu jomonii😎Hahaaa " my ribs
Yeap hapo ndipo tulipo siku si nyingi tutatoka hapo tunahamia 5G...na ssa iv utaona kuna VoLTE ambapo ni twerking za LTE kuwezesha mtu kumake calls thru internet kama ilivyo whatsp u can make calls over LTE network (so LTE ni hardware ambayo inakuja na simu while VoLTE ni software inapatikana baada kuupgrade software system kwa baadhi ya high end devices).Kasi ya mwendo wa 4G[emoji23]
Mwaego ndo nin tena?Ila kweli mwaego
Huhuuuu....my ribs[emoji23] [emoji23]Hahahaaaa. Lol.
Kishaa siku moja wabadili Id halafu waja nauzi ooh. Hajar kizee, ooh. Hajar ana mapengo basi tafrani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au tukijishaua watuchoora na kusema lait wangewajua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sana.
😂😂😂Unajua humu ni kma tupo kijiweni.
Sasa lazima ukiwa kijiweni upate story ya kuhadithia.