Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Mwanaume na nusu..
Natafuta vielelezo au madesa ya kwamba mnatakiwa mtuhudumie sijayaona best[emoji3166]...

But shida ipo kwenye kuelewa na kukubali majukumu yetu. Ni vita kubwa sana hii. Sikatai hela ni ngumu sana tena sana, but linapokuja suala la kuhudumiana yatupasa kutimiza wajibu wetu ipasavyo pasi kusemezana nani yampasa yepi[emoji1488]
 
Kwahiyo ukajikuta umekuwa mbea ili uje na cha kuhadithia humu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ndo maana kumbe wanasema baadhi ya wanaume wa jf ni wambea[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23]

Haahaaa..
Unajua humu ni kma tupo kijiweni.

Sasa lazima ukiwa kijiweni upate story ya kuhadithia.
 
Back
Top Bottom