Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Wewe unaelalamika kupigwa mizinga u cant be serious
Yani demi hujanielewa kwenye huu uzi.. Ishu sio kupigwa mizinga shida inakuja pale mtu anakuona wewe boya umpe hela eti sababu anajua ana papuchi. Ila kwa wewe hata ukiniona boya sawa tu, hela ntakupa hata usiponipa papuchi. Ila ntaumia mana huo utamu sio wa nchi hii
 
Ha haaa hebu niache mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…