Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Ishu ya kuombwa hela nadhani kina kaka kwa sasa mnaongoza jamani, mimi mpaka nimeamua mapenzi basi mnapiga vibomu mnooo mpaka unajiuliza huyu mpenzi au marioo, kwakweli mnakera.
Aliniita manager wetu mpendwa kuna ishu iko poa utafurahiHayo ndo maneno[emoji122] [emoji122] .....kumbe ulitoka?
Vip nje leo jam la kufa mtu?
Ntakucheki hali upepo ukivumia upande wangu.Aaaaah wapiii?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaaan lisione nimecomment kitu hiloo limeshajileta halafu linaongea uchokooo uchokoo tu mdomoni fakeni kabisa!Kama namuona vile alivyotulia .... Hii dunia nayo... Imetosha BAN BAN
Aaaah ww tena best ake!Ntakucheki hali upepo ukivumia upande wangu.
Enough witnessj sasa mbona unataka Ku m expose?.Yaaan lisione nimecomment kitu hiloo limeshajileta halafu linaongea uchokooo uchokoo tu mdomoni fakeni kabisa!
Hata hapa liko linanisoma! Jamani we teja wa kinondoni achana na mimi mbona mi sinaga muda na wewe![emoji57] [emoji57] ....ukipata alosto kavute usinzie achana na mimi!...mfyuuu
Weeee[emoji15] ....kweli Boss?Aliniita manager wetu mpendwa kuna ishu iko poa utafurahi
Sasa unafikiri kwenye huu uzi sijamexpose?[emoji102] [emoji15]....hebu fika uuone acha kuandikia mate!
Nina hamu nae....coz this is too much Jason
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Sometimes huelewekekagi ujue.
Dar Gym napita chochoro nisubiri hapo hapo packing...Weeee[emoji15] ....kweli Boss?
Nakuaminia mkubwa!
Umefika wapi sasa?....niko parking mwisho kabisa!
Dar Gym Masaki?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji86] ..Dar Gym napita chochoro nisubiri hapo hapo packing...
Dar Gym masaki?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji86] ..
No sikusubiri humu bana, mbu balaa!...njoo Rose Garden itakuwa rahisi hapo!
Hapana[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....ila kuna uzi naushusha hapa soon ntakutag!Mpambano uliendelea kwani?
Hapana[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....ila kuna uzi naushusha hapa soon ntakutag!
Wewe tena lazima....uko wapi?🤣🤣🤣haya utanitag maana nipo tu hapa nashangaa mataa
Majukumu ya baba yake anahamishia kwako, hao ni kuwaweka kando tu.Mara mbili kwa wiki bora na hao. Kuna ambao kila siku wana matatizo. Nauli vocha, chakula.. ndio michezo yao ipo hapo. Mwanamke anadanga masaa 24.
Nilipata wa hivyo nikampiga chini mapema sana maana tabia chafu kama hizo sizipend kabisa..
Ngoja nizime simu sasa..Nyie mbona mnaobva omba na hatuwawekei mabango? Mkiacha kuomba omba nasi tutaacha ila kwa sasa tuendelee tu kuombana.
Tena umenikumbusha ngoja nikaombe hela.
Usilenge lkini nikutafta.Aaaah ww tena best ake!