Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Lile ambalo ngozi muda wote imepauka ... Mr perfect?
Ewaaaaaaa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] ....linafikiri naliogopa nalo kumbe ni ile sitaki uchuro wala mazoea that's y huwa hata kichwa changu hakikumbuki lolote kulihusu[emoji23] [emoji23]

Sasa too much...naona nnye yake inawashaa[emoji57] [emoji57]
 
Kama hilo siji na achana nalo kavurugwa yule msamehe. Hana tofauti na Huyo aliye kuatack
 
Tujiuze wapi kwanani mnadhani kila mtu anawaza kuliwa na malala haoi kanyie kunawadada kama sisi tunajituma nakila tulichonacho wanaume hawawezi kutununua hata waje na nini so usituweke pamoja nahao mnao wapa elfu kumi halafu mnajiona nikwakila mdada .
Dhamani yangu ndio maisha yangu.
Umenielewa naukome nahao magroup ya wenzio kunichanganya na vimada vyenu .
Mmenielewa maisha ni mwangu sijawahi uza k yangu kwamaana nasubiria mwanaume aje anioe kistaarabu so kama humu ndani kuna list ya wapumbavu wanaona wanawake ni wakujiuza kisa vihela vya mikopo mtukome na vinguo vya misaada na vigari vya mikopo na uchokaji wa maisha wenu.
Msituletee sisi .
Kazoeni hadhi zenu.
Hee taratibu mama...

kwani kipi kinaendelea hapa?
 
Back
Top Bottom