Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Kama unaish dar yes. Lakin idad ni ndogo sana. wengi hawafanyi hayo maana ni aibu.
Ishu ya kuombwa hela nadhani kina kaka kwa sasa mnaongoza jamani, mimi mpaka nimeamua mapenzi basi mnapiga vibomu mnooo mpaka unajiuliza huyu mpenzi au marioo, kwakweli mnakera.
 
Kama namuona vile alivyotulia .... Hii dunia nayo... Imetosha BAN BAN
Yaaan lisione nimecomment kitu hiloo limeshajileta halafu linaongea uchokooo uchokoo tu mdomoni fakeni kabisa!


Hata hapa liko linanisoma! Jamani we teja wa kinondoni achana na mimi mbona mi sinaga muda na wewe![emoji57] [emoji57] ....ukipata alosto kajidunge sindano usinzie achana na mimi!...mfyuuu
 
Yaaan lisione nimecomment kitu hiloo limeshajileta halafu linaongea uchokooo uchokoo tu mdomoni fakeni kabisa!


Hata hapa liko linanisoma! Jamani we teja wa kinondoni achana na mimi mbona mi sinaga muda na wewe![emoji57] [emoji57] ....ukipata alosto kavute usinzie achana na mimi!...mfyuuu
Enough witnessj sasa mbona unataka Ku m expose?.
 
Mara mbili kwa wiki bora na hao. Kuna ambao kila siku wana matatizo. Nauli vocha, chakula.. ndio michezo yao ipo hapo. Mwanamke anadanga masaa 24.
Nilipata wa hivyo nikampiga chini mapema sana maana tabia chafu kama hizo sizipend kabisa..
Majukumu ya baba yake anahamishia kwako, hao ni kuwaweka kando tu.
 
Nyie mbona mnaobva omba na hatuwawekei mabango? Mkiacha kuomba omba nasi tutaacha ila kwa sasa tuendelee tu kuombana.

Tena umenikumbusha ngoja nikaombe hela.
Ngoja nizime simu sasa..
 
Back
Top Bottom