Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Mtoto wa kike kumuomba mwanaume kawaida tu lakin isiwe too much, maana msipoombwa mnajiuliza kwann huyu mwanamke haniombi pesa nshakutana na Uzi mwanaume analalamika kwann demu wake amuombi pesa
Huo uzi upo humu?
 
Naomba Namba yako DM
 
Aaaah wapi...[emoji23] [emoji23] [emoji23] karibu wine mkuu
Wine imeshuka chini nini!! Mana naona design kama hauko stable. Ukizidiwa niambie nipo hapa standby nasubiri uniambie "baby njoo unichukue"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…