Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Teh.. Boys with coins!
Coins ni shidaaaah!View attachment 927890
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coins ni shidaaaah!View attachment 927890
Mkuu una hasira nao!!Waonee huruma kamanda
Tupo ila wachache sana..Inabidi uwe na darubini kutupataIvi Wanaume wa hivi bado wapo?
Nakupendea hapo tu..Una huruma mpaka shetani anaogopa.Mchezo hauhitaji hasira..huruma muhimu
[emoji23][emoji23]Nakupendea hapo tu..Una huruma mpaka shetani anaogopa.
[emoji23] [emoji23] so what?Una maneno ya kihuni!!!
Huo uzi upo humu?Mtoto wa kike kumuomba mwanaume kawaida tu lakin isiwe too much, maana msipoombwa mnajiuliza kwann huyu mwanamke haniombi pesa nshakutana na Uzi mwanaume analalamika kwann demu wake amuombi pesa
Mkuu najua saivi ushasepa home na mtoto mzuri..Hongera sana, kweli hela ina nguvuNjoo samaki samaki mlimani city saa moja jioni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tupo ila wachache sana..Inabidi uwe na darubini kutupata
Leo kazi ipo..Punguza mzuka mamaa, nadhani unahitaji masage kupunguza stress[emoji23] [emoji23] so what?
Aaaah wapi...[emoji23] [emoji23] [emoji23] karibu wine mkuuLeo kazi ipo..Punguza mzuka mamaa, nadhani unahitaji masage kupunguza stress
Yan @witneaaj nafurahije nikiona unacheka sasa. Na ulivyo na meno na lips nzuri jamani natamani niwe karibu nione unavyofurahi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo ndio mwisho wakuwa jamii forum napenda kuwaaga wote kupitia uzii huu ngoja nijitoe humu kabisa siku moja kunamtu atatoa picha zangu kwania mbaya akisema huyu ni katoto kazuri nikadangaji nahuku mimi nimtu najiheshimu familia yetu niwatu wa maadili na wameshika dini.
Watu wakikudis sio poa tena ambao hawakujui so kwa herini this time it's for real.
Wine imeshuka chini nini!! Mana naona design kama hauko stable. Ukizidiwa niambie nipo hapa standby nasubiri uniambie "baby njoo unichukue"Aaaah wapi...[emoji23] [emoji23] [emoji23] karibu wine mkuu
Nimezungukwa na kampani ya kutoshaa....worry outWine imeshuka chini nini!! Mana naona design kama hauko stable. Ukizidiwa niambie nipo hapa standby nasubiri uniambie "baby njoo unichukue"
Simiyu kuna flight za usiku?? Mana leo hakulaliki bila kukuonaKaribu Simiyu. Uje na wallet yako