Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Ukiona mwanamke amebadirisha tabia yake kwako,hasa ikawa ni kwa sababu ya mwanaume mwingine,unachotakiwa kufanya ni kuangalia mbele tena uongeze mwendo.
Uking'ang'ana kwa sababu yoyote ile mwanamke anaweza hata kukuua,iwe kwa maradhi au kwa sumu au hata kwa presha. Amekua mtumwa wa mwanaume mwingine anafuata maelekezo ya mwanaume mwingine,uko hatarini tayari. Wanawake hawawezi kuwapenda wanaume wawili kwa pamoja,ukitendewa sivyo ujue kuna mtu anafaidi mema, just move on.
 
Mungu ametuasa tuishi nao kwa akili..Wanafikiria kupitia mioyo sio akili, so akipata wa kumdanganya ndo basi tena huna chako.
 
Jamani kuna nini siku hizi napitwaaa kwelii
Naomba nami kumjua bosslady wa jf
 
Duuuuuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…