Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Haaahaaaa asante....mi mwanamke mwenzangu nikiona kavurugwa haki najisikia vibaya sana!...wanawake tuna mateso sana humu duniani...so huwa nafeel pity!

Pole zake maskini!
Na kweli mwaya ila huenda ikawa ndio anapata ahueni labda. Japo na mie pia nimejikuta namsikitikia tu.

Nakazia Pole kwake. Maisha haya siku zote ukitaka yawe magumu au mepesi mtengenezaji ni we mwenyewe ila ndio hivyo wengi hatulijui hilo.
 
Sijui nipoje. Yani nikikutana na dada mzuri kapata matatizo mahali huwa najitahidi kubeba matatizo yake yote ndio nipate furaha

Shida yenu humu majina feki, picha feki na wasifu feki
Uwiiii ...wanaume kama ninyi mmebaki wawili tu Africa hii

Yani Mimi ni huyo apo kwa avatar..jina langu ni Iloilo..kila unachoona ni real hakuna kitu fake hapo

Naomba unifikirie tafadhali
 
Mimi ni mtoaji mpaka madada wa hapa mtaani wanajishtukia
Hahahaa. Sijui kwa nini moyo wangu unakataa hii kauli.

Sababu naona pesa inapatikana kwa shida now days au Mtani kwako ni kinyume.

(Pia Mtani hizo pesa wasemea zile buku buku za kujiunga vifurushi vya chuo) 😂😂😂😂
 
Uwiiii ...wanaume kama ninyi mmebaki wawili tu Africa hii

Yani Mimi ni huyo apo kwa avatar..jina langu ni Iloilo..kila unachoona ni real hakuna kitu fake hapo

Naomba unifikirie tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unavyoandika kwa kumaanisha sasa
 
Back
Top Bottom