Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
[emoji23][emoji23]Kanyang'anywa chezea JF...sasa kila akipiga mahesabu anahisi Wit ndo kamchukua! Mara Madam S labda or Yna2 labda ndo anae....shughuli anayo halooo
Anawakati mgumu sana
Hadi stress ziishe atakua kavamia wengi humu
Atulize tu akili na kuandika vya maana labda wanaume wa jf wanaweza mstiri mwanamke mwezetu