Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
- Thread starter
- #701
Ila wewe unaonekana uko vizuri..Hela ya mtu haiendi bureSawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wewe unaonekana uko vizuri..Hela ya mtu haiendi bureSawa
Kwamba usipokuwa na option ndio...?
Kiongozi naona umejitahidi leo umekomenyi kicheko. Huwa nakuona una like tu. Mtu hatari sana wewe.
Hahahaaa. Yaani acha tu mwaya.Wanapenda umbea wa kusoma[emoji23] [emoji23]
Hela yenu tamu hivoo ujue[emoji23] [emoji23]Hzi za kuzidi kuomba watu pesa[emoji23] [emoji23] .
Hii tabia mtaacha lini kwa niaba ya wanawake wenzako[emoji1] [emoji1] .
Wewe ni mchagga?
Duh!Kitatumika mpakaa kipate sugu
Yeah naelewa.Hapana mkuu....nothing bad!
Tulikuwa tunawekana sawa si unajua penye wengi mtifuano lazima[emoji23] [emoji23]
Mademu wote JF mabosiledi.
Pole sana
Mi hata mia moja ya kiberiti sikupi ,tafuta pesa zako mwenyewe
Asee ur most welcome nikivuruga!Yeah naelewa.
Kufahamishana muhimu hata wew siku ukitifua hapa ntakufahamisha hhhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Safi sana. 🙏🙏Niko na nyinyi bega kwa bega wala msihofu kwa hilo.
Naona mada zenu zimerudi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aalllaaaaa kumbe nlikua sijui[emoji23] [emoji23] .Hela yenu tamu hivoo ujue[emoji23] [emoji23]
Haki hela ya mwanaume tamu kama asali[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ningendako njoo utie neno banaa. Maana naona kimya kimya. [emoji12][emoji12][emoji12]
Mkuu kwa kuwa unapenda papuchi basi hela kidogo si mbaya ukimpatia aliyekutunuku..Kanauli na kavocha vitamtosha
Hata wewe bosiledi.Labda wenzangu mimi bado nakimbizana na maisha
Ila wewe unaonekana uko vizuri..Hela ya mtu haiendi bure