Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Eti ataolewa tu kama vile nawe ni Mungu omba sana asije kukuletea mtoto nyumbani kabla ya ndoa.
Baba kaleta unategemea nini kwa watoto, maisha ni duara ujue. Maji hufuata mkondo.
 
Sio kila mwanamke yupo kwajiri ya kuolewa.
Hakuna kitu kama hicho

Ila kuna vitu vinasababisha mwananmke awe hivyo
1. Kuishi na mama peke yake ambaye kutwa anakusimulia ubaya wa wanaume
2. Kushindwa kupata mwanaume ( sizitaki mbichi hizi)
3. Kujigundua kwamba ahauna sifa zinazowavutia wanaume waoaji( mfano sura, shep, tabia mbaya kama ukali na uasherati n.k)

4. Kuruhusiwa na wazazi kwenda kupanga na kuishi mwenyewe , either kuruhusiwa kwa hiari au baada ya kuajiriwa na hivyo kuishi kipindi fulani ukiwa peke yako
 
Nashukuru kwa kunielewa mkuu ubarikiwe.
 

Hapo kwenye sura,shepu nakupinga kwan wangap hawana shepu/sura na wanaolewa na wwnye pesa zao?? Mwanamke jiamin pia kama unajielewa hukos mme,,
 
Nina wifi yangu akakaribia 50 na bado ana matumaini ya kuolewa, ni bikra hajawahi kuguswa, mlokole ila nahisi kakeketwa
😂😂😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿
You can’t be serious miaka 50 anatarajia kuolewa kweli imani ni hakika ya mambo yatarajiwayo
 
Naliaga kwa uchungu nikisema ee Mola.............
Kama ni kufua, kudeki, kusafisha vyombo najua!
Kama ni kumsalimia mama mkwe, wifi na mashemeji kwa goti, nimefunzwa
Kama ni kulima na kutunza mifugo, including watoto wa kufikia pia nipo tayari; Sasa kwanini unitupe mja wako kwa kuwa sina chura🤦🏾‍♀️!
 
Huyu member akili yake ina chuki kwa jinsia mke nahisi ameumizwa hisia mara nyingi zaidi yaani Jana zimenishangaza comments zake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mioyo yao imebeba maumivu na chuki nyingi, tuwaelewe tu. Sio wao ni maumivu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1544][emoji1544][emoji1544]
You can’t be serious miaka 50 anatarajia kuolewa kweli imani ni hakika ya mambo yatarajiwayo
Kwani haiwezekani?
 
Duuuuh!!
Kweli umetisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Dada haya maneno uliyoandika yameniuma sana honestly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…