Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Baba kaleta unategemea nini kwa watoto, maisha ni duara ujue. Maji hufuata mkondo.Eti ataolewa tu kama vile nawe ni Mungu omba sana asije kukuletea mtoto nyumbani kabla ya ndoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba kaleta unategemea nini kwa watoto, maisha ni duara ujue. Maji hufuata mkondo.Eti ataolewa tu kama vile nawe ni Mungu omba sana asije kukuletea mtoto nyumbani kabla ya ndoa.
HahahhaKiruuu....au tufanye ngamia kabisaa???
Wanawake wazuri wazuri wameolewa
Yamebaki madungaembe yanahangaika yanahangaika[emoji445][emoji444][emoji443]
Wataolewaje wakati wanajidai wajanja wanajua kilakitu...
Nani anataka kuoa Google?
Hakuna kitu kama hichoSio kila mwanamke yupo kwajiri ya kuolewa.
Nashukuru kwa kunielewa mkuu ubarikiwe.huyu anadhani amevuka mto hajatafakari kwa makini maneno yake..maisha ni mduara amesahau kwa kuwa ye mwanaume ila hajui upande wa pili piqa wanakutana na changamoto gani...ndio ilefamilia mama na nbaba wanakandia mainti wa wenzio mara hawajasoma mara hawana akili mara hawajatulia hawatolewa mara malaya tena ooh nyie mtaolewa tena na wanaume wana hadhi na kazi zao ...af mwisho wa picha wale wanaokandiwa wanakuwa na maisha na familia zao hawa wengine wanakuwa wanatanga tanga
Huyu member akili yake ina chuki kwa jinsia mke nahisi ameumizwa hisia mara nyingi zaidi yaani Jana zimenishangaza comments zake 😀😀😀😀
Halafu kwa kizazi cha sasa akeshe akiomba mno kwa kizazi chake.Baba kaleta unategemea nini kwa watoto, maisha ni duara ujue. Maji hufuata mkondo.
Hakuna kitu kama hicho
Ila kuna vitu vinasababisha mwananmke awe hivyo
1. Kuishi na mama peke yake ambaye kutwa anakusimulia ubaya wa wanaume
2. Kushindwa kupata mwanaume ( sizitaki mbichi hizi)
3. Kujigundua kwamba ahauna sifa zinazowavutia wanaume waoaji( mfano sura, shep, tabia mbaya kama ukali na uasherati n.k)
4. Kuruhusiwa na wazazi kwenda kupanga na kuishi mwenyewe , either kuruhusiwa kwa hiari au baada ya kuajiriwa na hivyo kuishi kipindi fulani ukiwa peke yako
Mwanamke anazeeka anaishia kucheza kwaito harusi za wenzake tuu
Atakuwa mlokole bila shaka..Sijamkejeli, ndivyo anavyosema
😂😂😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿Nina wifi yangu akakaribia 50 na bado ana matumaini ya kuolewa, ni bikra hajawahi kuguswa, mlokole ila nahisi kakeketwa
Mioyo yao imebeba maumivu na chuki nyingi, tuwaelewe tu. Sio wao ni maumivu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu member akili yake ina chuki kwa jinsia mke nahisi ameumizwa hisia mara nyingi zaidi yaani Jana zimenishangaza comments zake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani haiwezekani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1544][emoji1544][emoji1544]
You can’t be serious miaka 50 anatarajia kuolewa kweli imani ni hakika ya mambo yatarajiwayo
Hahahaha halafu zile comments zake ukizichunguza kwa makini kama zilikuwa message sent kwa mtu fulani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mioyo yao imebeba maumivu na chuki nyingi, tuwaelewe tu. Sio wao ni maumivu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuuh!!Naliaga kwa uchungu nikisema ee Mola.............
Kama ni kufua, kudeki, kusafisha vyombo najua!
Kama ni kumsalimia mama mkwe, wifi na mashemeji kwa goti, nimefunzwa
Kama ni kulima na kutunza mifugo, including watoto wa kufikia pia nipo tayari; Sasa kwanini unitupe mja wako kwa kuwa sina chura[emoji2364]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naliaga kwa uchungu nikisema ee Mola.............
Kama ni kufua, kudeki, kusafisha vyombo najua!
Kama ni kumsalimia mama mkwe, wifi na mashemeji kwa goti, nimefunzwa
Kama ni kulima na kutunza mifugo, including watoto wa kufikia pia nipo tayari; Sasa kwanini unitupe mja wako kwa kuwa sina chura[emoji2364]!
Naliaga kwa uchungu nikisema ee Mola.............
Kama ni kufua, kudeki, kusafisha vyombo najua!
Kama ni kumsalimia mama mkwe, wifi na mashemeji kwa goti, nimefunzwa
Kama ni kulima na kutunza mifugo, including watoto wa kufikia pia nipo tayari; Sasa kwanini unitupe mja wako kwa kuwa sina chura🤦🏾♀️!