Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Huyo ana maumivu, maybe akipona atayaona maisha kwa macho ya tofauti. Kwasasa acha ajitibu kwa njia hiyo.
 
Endelea kujifariji tu. Usipodhibiti mienendo yako lazima uzeeke bila ndoa. Halafu huwa wana stress na hasira za karibu wale wasioolewa na age inasoma 30+
Kweli kabisa yani huwa wana hasira mno, tunao wengi tu huku mitaani.
 
Sasa hii nayo eti ni mada... Umetongoza huko umekataliwa unakuja kuchamba mtu apa kwa kisingizio cha wanawake wasioolewa.... Kakukataa kwa sbb hajakupenda na wewe unamlazimisha kumuoa mtu na hataki basi hasira umezileta huku. We katafute size yako uoe... Wasioolewa we wanakuuma nini sasa kwani wanakula na kulala kwako?
 
Ukute huyo member ni mkosoaji mzuri jukwaani.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ
You can’t be serious miaka 50 anatarajia kuolewa kweli imani ni hakika ya mambo yatarajiwayo
Kweli anaamini ipo siku
 
[emoji23] [emoji23] mkuu ili neno unatuita mafurushi linanichekesha sana embu tafuta lengine la kutubezea hili usitumie Kali Sana
 
Dar Hamna mwanamke wa kuoa,wote wameexpire
 
[emoji23] [emoji23] mkuu ili neno unatuita mafurushi linanichekesha sana embu tafuta lengine la kutubezea hili usitumie Kali Sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo hilo ndio linawafaa maana mmezidi.
 
Mambo ya kuolewa na mbugila mbugila nani anataka..si bora ijulikane tu nimekosa mume kuliko kuingia majaribuni...mapenzi ya Mungu yatimizwe na yataridadi.
 
Ndoa ingekuwa lazima kwa mwanamke basi tungekuwa tunazaliwa na vyeti vya ndoa mkononi ili ukipata ufahamu tu unamjua mme wako nani
Au papuchi zingeandikwa majina ya mmiliki toka tumboni
Unless otherwise
Ndoa sio lazima
Ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…