Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Mkuu mambo mengine siyo ya kulazimisha siyo kila mtu alikuja duniani kutimiziwa mahitaji yake yote ndo maana kuna matajiri na masikini vivyo hivyo kuna wenye ndoa na wasio na ndoa ndiyo maisha hayo kuna wanawake ni wajeuri na wameolewa na kuna wanawake wanyenyekevu na hawajaolewa

Maisha hayana kanuni na ndoa ni mipango ya Mungu ila najua hautaelewa hili kwa sababu wewe haumuamini Mungu ila huo ndiyo ukweli utawakashifu na utawatukana hapa ila mwisho wa siku utaendelea na maisha yako na kuiacha dunia iende kama inavyoenda naimini mimi dunia hii ya sasa kuna wanawake HAWATAKI KABISA kuolewa
Huyo ana maumivu, maybe akipona atayaona maisha kwa macho ya tofauti. Kwasasa acha ajitibu kwa njia hiyo.
 
Endelea kujifariji tu. Usipodhibiti mienendo yako lazima uzeeke bila ndoa. Halafu huwa wana stress na hasira za karibu wale wasioolewa na age inasoma 30+
Kweli kabisa yani huwa wana hasira mno, tunao wengi tu huku mitaani.
 
Sasa hii nayo eti ni mada... Umetongoza huko umekataliwa unakuja kuchamba mtu apa kwa kisingizio cha wanawake wasioolewa.... Kakukataa kwa sbb hajakupenda na wewe unamlazimisha kumuoa mtu na hataki basi hasira umezileta huku. We katafute size yako uoe... Wasioolewa we wanakuuma nini sasa kwani wanakula na kulala kwako?
 
Tuna mafurushi acha tu.
Kuna thread moja jana nimeisoma nikahisi kusisimkwa kwa hasira. Kibinti kina 25 tu ila huyo mwanaume alonae ni furushi hatari. Na ni member wa humu maana alikuta kwenye simu yake akishare namba za wauzaji.

Just imagine binti mdogo hivyo anapitia mazito hivyo[emoji134][emoji134]
Ukute huyo member ni mkosoaji mzuri jukwaani.
 
[emoji23] [emoji23] mkuu ili neno unatuita mafurushi linanichekesha sana embu tafuta lengine la kutubezea hili usitumie Kali Sana
Tuna mafurushi acha tu.
Kuna thread moja jana nimeisoma nikahisi kusisimkwa kwa hasira. Kibinti kina 25 tu ila huyo mwanaume alonae ni furushi hatari. Na ni member wa humu maana alikuta kwenye simu yake akishare namba za wauzaji.

Just imagine binti mdogo hivyo anapitia mazito hivyo[emoji134][emoji134]
 
[emoji23] [emoji23] mkuu ili neno unatuita mafurushi linanichekesha sana embu tafuta lengine la kutubezea hili usitumie Kali Sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo hilo ndio linawafaa maana mmezidi.
 
Mambo ya kuolewa na mbugila mbugila nani anataka..si bora ijulikane tu nimekosa mume kuliko kuingia majaribuni...mapenzi ya Mungu yatimizwe na yataridadi.
 
Ndoa ingekuwa lazima kwa mwanamke basi tungekuwa tunazaliwa na vyeti vya ndoa mkononi ili ukipata ufahamu tu unamjua mme wako nani
Au papuchi zingeandikwa majina ya mmiliki toka tumboni
Unless otherwise
Ndoa sio lazima
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom