Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha baba yangu
Kweli baba zetu walikuwa malaika walah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha baba yangu
Kama kweli ameoa basi wanawake tuna huruma sanaaaa. Sie ni mbinguni tu kunatuhusu[emoji23][emoji23]Anajisifu ameoa malaika itakuwa ni mhenga mwenzetu.
Marriage is just a piece of fucking paper.
(excuse my manner [emoji57])
Kuna tofauti kati ya kuishi na mtu na kuoana,
kama unazungumzia wale ambao wanaishi peke yao bila wapenzi hiyo ni another case,
Find Money and you will get your happiness.
Huyo ana maumivu, maybe akipona atayaona maisha kwa macho ya tofauti. Kwasasa acha ajitibu kwa njia hiyo.Mkuu mambo mengine siyo ya kulazimisha siyo kila mtu alikuja duniani kutimiziwa mahitaji yake yote ndo maana kuna matajiri na masikini vivyo hivyo kuna wenye ndoa na wasio na ndoa ndiyo maisha hayo kuna wanawake ni wajeuri na wameolewa na kuna wanawake wanyenyekevu na hawajaolewa
Maisha hayana kanuni na ndoa ni mipango ya Mungu ila najua hautaelewa hili kwa sababu wewe haumuamini Mungu ila huo ndiyo ukweli utawakashifu na utawatukana hapa ila mwisho wa siku utaendelea na maisha yako na kuiacha dunia iende kama inavyoenda naimini mimi dunia hii ya sasa kuna wanawake HAWATAKI KABISA kuolewa
Kuna watu huwa wakiachwa hawaachiki, hivyo anaendelea kuumia tu. Siku akikubali ukweli atapona kabisa.Sijui wanawake wamemfanya nini!
Kweli kabisa yani huwa wana hasira mno, tunao wengi tu huku mitaani.Endelea kujifariji tu. Usipodhibiti mienendo yako lazima uzeeke bila ndoa. Halafu huwa wana stress na hasira za karibu wale wasioolewa na age inasoma 30+
Tumuombee tu awahi.Na hadi aje aukubali kweli pengine anaweza akawa amechelewa sana
Ukute huyo member ni mkosoaji mzuri jukwaani.Tuna mafurushi acha tu.
Kuna thread moja jana nimeisoma nikahisi kusisimkwa kwa hasira. Kibinti kina 25 tu ila huyo mwanaume alonae ni furushi hatari. Na ni member wa humu maana alikuta kwenye simu yake akishare namba za wauzaji.
Just imagine binti mdogo hivyo anapitia mazito hivyo[emoji134][emoji134]
Acha tu.Ukute huyo member ni mkosoaji mzuri jukwaani.
Ni kweliAtakuwa mlokole bila shaka..
Kweli anaamini ipo siku😂😂😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿
You can’t be serious miaka 50 anatarajia kuolewa kweli imani ni hakika ya mambo yatarajiwayo
Tuna mafurushi acha tu.
Kuna thread moja jana nimeisoma nikahisi kusisimkwa kwa hasira. Kibinti kina 25 tu ila huyo mwanaume alonae ni furushi hatari. Na ni member wa humu maana alikuta kwenye simu yake akishare namba za wauzaji.
Just imagine binti mdogo hivyo anapitia mazito hivyo[emoji134][emoji134]
Ahsante mkuu.....Ila a word of advice usipende kuchulia hizi comment majukwaani serious! 💁♀️Kip praying mungu atakuona tu!! Au ndo walewale wa snapchat?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] [emoji23] mkuu ili neno unatuita mafurushi linanichekesha sana embu tafuta lengine la kutubezea hili usitumie Kali Sana
Ha ha haNdoa ingekuwa lazima kwa mwanamke basi tungekuwa tunazaliwa na vyeti vya ndoa mkononi ili ukipata ufahamu tu unamjua mme wako nani
Au papuchi zingeandikwa majina ya mmiliki toka tumboni
Unless otherwise
Ndoa sio lazima
sababu kadhaa tafadhali, shida nini kwaniMi wala sikushauri