Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
- Thread starter
-
- #341
Sasa hii nayo eti ni mada... Umetongoza huko umekataliwa unakuja kuchamba mtu apa kwa kisingizio cha wanawake wasioolewa.... Kakukataa kwa sbb hajakupenda na wewe unamlazimisha kumuoa mtu na hataki basi hasira umezileta huku. We katafute size yako uoe... Wasioolewa we wanakuuma nini sasa kwani wanakula na kulala kwako?
Ahsante mkuu.....Ila a word of advice usipende kuchulia hizi comment majukwaani serious! [emoji136]♀️
Mambo ya kuolewa na mbugila mbugila nani anataka..si bora ijulikane tu nimekosa mume kuliko kuingia majaribuni...mapenzi ya Mungu yatimizwe na yataridadi.
Kwa mimi bachelor naweza pata mke kwenye huu uzi, ngoja nipitie comments kwa makini
Ni kweli, Hakuna mtu ambae hajawahi kutana na mtu anayetaka kumuoaNikuambie tu hakuna mwanamke ambae hajawahi kubahatika kupata mtu mwenye nia ya kumuoa...tatizo lipo kwenu wanawake mnachagua sana,mnataka kila kitu mkukute,tatizo linaanzia hapo...
kila wazo la ndoa likija nikiwaza kubaby sit mtu mzima dah. Huwa nagairi haraka sana.
Pombe zimeisha sasa ngoja nikapitie comments zangu[emoji1]
wala mimi sio slay Q basi tu nadhani watu hatufanani.Baki hvo hvo nyie sindo ma slay Q
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ana maumivu, maybe akipona atayaona maisha kwa macho ya tofauti. Kwasasa acha ajitibu kwa njia hiyo.
Nimegundua nikiwa vyombo naongea ukweli bilq unafki[emoji1787][emoji1787]Hahahahaha
Magu anavyotufanyia sio kabisaaaa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kafanya je?Magu anavyotufanyia sio kabisaaaa[emoji134][emoji134][emoji134]
Kweli sio wote, ila wengi wenu ni mafurushi acha tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mafurushi daah siyo wote lakini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kila wazo la ndoa likija nikiwaza kubaby sit mtu mzima dah. Huwa nagairi haraka sana.
Ulilala nje au uliruka ukuta?[emoji23][emoji23][emoji23]Pombe zimeisha sasa ngoja nikapitie comments zangu[emoji1]
Vyuma, hasira mnamalizia kwetu.Kafanya je?