Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Sasa hii nayo eti ni mada... Umetongoza huko umekataliwa unakuja kuchamba mtu apa kwa kisingizio cha wanawake wasioolewa.... Kakukataa kwa sbb hajakupenda na wewe unamlazimisha kumuoa mtu na hataki basi hasira umezileta huku. We katafute size yako uoe... Wasioolewa we wanakuuma nini sasa kwani wanakula na kulala kwako?

Mbna umewaka sana pole🤣🤣🤣
 
kila wazo la ndoa likija nikiwaza kubaby sit mtu mzima dah. Huwa nagairi haraka sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu mzima aloshindwa na wazazi wake.
 
Back
Top Bottom