Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Wanaumia saana mengine ni kujifariji tu.. Ooh mipango ya Mungu , ndoa maamuzi ila ukweli ni kwamba wanaumia haswa. Tena haswa wakikumbuka waliwah mchomolea mtu sahihi[emoji16][emoji16][emoji16]...! Mungu awasaidie tu kwa kweli maana hawa viumbe hawaumbi ila ni wazuri kwenye kuumbua
 
hapana sio suala la chura mpendwa, ni bahati sometimes tu maana idadi ya waoaji yani wanaume ni ndogo sana kwakuwa baadhi ya wanaume wamehami upande wenu wa kuwa wa kike.....
 
Mi natamani nikiona mashoga zangu kila mwezi nawachangia harusi sema sina haraka najua atakuja mtu ila ndo lini sijui na nishasema sitaki ndoa ya majaribio ya kuwafurahisha binadamu.

Wakati ukifika na mie nitakua Mrs. somebody inshallah
hakika alltthe best umeongea true kama mwana mrembo..ukiona wenzako unatamani na wewe ila pia unavumilia no kukirupuka kuforce maana obvious imani ipo ipo siku yako nawe itafika....Mwenyezi akujalie hilo lifanikiwe.
 
Imagine kuolewa kwa kupretend wala humpendi mume kisa tu watu wasikusakame nakuambia kuishi na mtu humpendi utamtesa tu
mtii mume wako , na mume mpende mke wako...hivi enzi za zamani wanawake walikuwa wanapenda na kiufanya maamuzi kkwa kuangalia kama anampenda mwanaue au la...ka swali tu haka, maana ukifuatilia kiundani ni debate nyingine tena aisee
 
uko reall..af kuna watu wanakuja na attack attitude etu kugongwa sijui unagongwa sasa walitakaje..wakati sisi hapa wanaume ndio tunawagonga sasa ye anacrash anini j=hiyo kugoknga lugha mbovu kwanza hapa ni kupeana utamu...halafu mwanaume lazim aampe utamu mwanamke yani hiyo lugha ya kihuni kugonga na mwanamke ye anapewa utamu so watu waache kusakama etu sijui unagongwa ..wao watafute wadad wa kuwagonga wapo wengi tu ili wasimind wewe kupewa utamu.
 
Wanaume wa JF hawachepuki wala hawafanyi mapenzi kabla ya ndoa ndio maana hawataki na sisi dada zao tuharibiwe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mungu anisamehe ila wanaume wakiwa JF wanaongoza kuishi maisha ya kinafki. Vingi wanavyovipinga wao ndio watendaji wakuu.
Sasa mtu anasema nisigongwe utadhani yeye anaemlala ni mkewe tu kumbe nae anatembeza dudu ile ile ila akiwa huku mtakatifu yeye wala hafanyi zinaa nje ya ndoa
 
hakika alltthe best umeongea true kama mwana mrembo..ukiona wenzako unatamani na wewe ila pia unavumilia no kukirupuka kuforce maana obvious imani ipo ipo siku yako nawe itafika....Mwenyezi akujalie hilo lifanikiwe.
Ikaww kheri mkuu
 
Ni kweli mkuu uko sahihi lakini nilichokisema mbona kipo sana kwenye jamii zetu mimi mwenyewe nina dada yangu hajaolewa kazalishwa na mshikaji maisha yanaendelea lakini wadogo zake wameolewa so dada angu analea kimjomba changu maisha yanaendelea
aisee mkuu japo mimi ni me lakini naona unatakiwa uwe na lugha ya staha kidogo hivi umeshafikiria kuwa hata wewe cku 1 utakuja kuwa baba,anko,binamu au kaka ya hao wanawake ambao hawajaolewa?
 
hiyo n sentence tuu , ila ukweli utabak nao moyon sidhani moyo wako unakutuma usiolewe kwa kigezo cha kusema wote wakiingia kucheza nan atakua mtazamaj ,
By ze way kuolewa ni mipango ya mungu mkuu kama mungu ajakuandikia aiwezekani hata kama ukimaliza waganga wote duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…