loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,145
okay,hata hivyo nikupongeze kwa kuiona cku ya leo!Woi. Atasemwa tu kwani yeye ni binadamu Kama mimi. Hata mimi nasemwa lakini sijali ndo maisha yalivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okay,hata hivyo nikupongeze kwa kuiona cku ya leo!Woi. Atasemwa tu kwani yeye ni binadamu Kama mimi. Hata mimi nasemwa lakini sijali ndo maisha yalivyo
Asante, hongera na weweokay,hata hivyo nikupongeze kwa kuiona cku ya leo!
hapana sio suala la chura mpendwa, ni bahati sometimes tu maana idadi ya waoaji yani wanaume ni ndogo sana kwakuwa baadhi ya wanaume wamehami upande wenu wa kuwa wa kike.....Naliaga kwa uchungu nikisema ee Mola.............
Kama ni kufua, kudeki, kusafisha vyombo najua!
Kama ni kumsalimia mama mkwe, wifi na mashemeji kwa goti, nimefunzwa
Kama ni kulima na kutunza mifugo, including watoto wa kufikia pia nipo tayari; Sasa kwanini unitupe mja wako kwa kuwa sina chura🤦🏾♀️!
Hao mbugila mbugila ndio wakoje na tabia zipi na attitude zipi kwanza tujue angalau utusaidie kwa hiloMambo ya kuolewa na mbugila mbugila nani anataka..si bora ijulikane tu nimekosa mume kuliko kuingia majaribuni...mapenzi ya Mungu yatimizwe na yataridadi.
bila shak aumepitia commentz zako baada ya pombe kuisha ukagundua hilo hahahNimegundua nikiwa vyombo naongea ukweli bilq unafki[emoji1787][emoji1787]
wacha wee..zinatishaje embu tumegee experience uliyoonaNdoa za kiafrica zinatisha sana, labda niende nje ya Africa
hakika alltthe best umeongea true kama mwana mrembo..ukiona wenzako unatamani na wewe ila pia unavumilia no kukirupuka kuforce maana obvious imani ipo ipo siku yako nawe itafika....Mwenyezi akujalie hilo lifanikiwe.Mi natamani nikiona mashoga zangu kila mwezi nawachangia harusi sema sina haraka najua atakuja mtu ila ndo lini sijui na nishasema sitaki ndoa ya majaribio ya kuwafurahisha binadamu.
Wakati ukifika na mie nitakua Mrs. somebody inshallah
mtii mume wako , na mume mpende mke wako...hivi enzi za zamani wanawake walikuwa wanapenda na kiufanya maamuzi kkwa kuangalia kama anampenda mwanaue au la...ka swali tu haka, maana ukifuatilia kiundani ni debate nyingine tena aiseeImagine kuolewa kwa kupretend wala humpendi mume kisa tu watu wasikusakame nakuambia kuishi na mtu humpendi utamtesa tu
uko reall..af kuna watu wanakuja na attack attitude etu kugongwa sijui unagongwa sasa walitakaje..wakati sisi hapa wanaume ndio tunawagonga sasa ye anacrash anini j=hiyo kugoknga lugha mbovu kwanza hapa ni kupeana utamu...halafu mwanaume lazim aampe utamu mwanamke yani hiyo lugha ya kihuni kugonga na mwanamke ye anapewa utamu so watu waache kusakama etu sijui unagongwa ..wao watafute wadad wa kuwagonga wapo wengi tu ili wasimind wewe kupewa utamu.Kwani hao wengine wanaooa wameoa mabikra? Kama kigezo ni nisigongwe mi sio bikra kwahiyo kugonjwa kupo mpaka atakapotokea huyo Mr. right. Halafu mi hata mtu akisema chochote ambacho mi hakinisumbui ni sawa tu kwa kweli ila siwezi acha kwa maneno ya mtu. Huwezi jua anaegonga nae anaweza akanogewa na kugonga akawa mume sasa kwanini nijime utamu.
Kauli mbiu yangu ni "Enjoy the journey while waiting".
Wanaume wa JF hawachepuki wala hawafanyi mapenzi kabla ya ndoa ndio maana hawataki na sisi dada zao tuharibiwe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].uko reall..af kuna watu wanakuja na attack attitude etu kugongwa sijui unagongwa sasa walitakaje..wakati sisi hapa wanaume ndio tunawagonga sasa ye anacrash anini j=hiyo kugoknga lugha mbovu kwanza hapa ni kupeana utamu...halafu mwanaume lazim aampe utamu mwanamke yani hiyo lugha ya kihuni kugonga na mwanamke ye anapewa utamu so watu waache kusakama etu sijui unagongwa ..wao watafute wadad wa kuwagonga wapo wengi tu ili wasimind wewe kupewa utamu.
Ikaww kheri mkuuhakika alltthe best umeongea true kama mwana mrembo..ukiona wenzako unatamani na wewe ila pia unavumilia no kukirupuka kuforce maana obvious imani ipo ipo siku yako nawe itafika....Mwenyezi akujalie hilo lifanikiwe.
Hahahha ila mapadre wanakula nyapu. Sana tu
aisee mkuu japo mimi ni me lakini naona unatakiwa uwe na lugha ya staha kidogo hivi umeshafikiria kuwa hata wewe cku 1 utakuja kuwa baba,anko,binamu au kaka ya hao wanawake ambao hawajaolewa?
By ze way kuolewa ni mipango ya mungu mkuu kama mungu ajakuandikia aiwezekani hata kama ukimaliza waganga wote dunianihiyo n sentence tuu , ila ukweli utabak nao moyon sidhani moyo wako unakutuma usiolewe kwa kigezo cha kusema wote wakiingia kucheza nan atakua mtazamaj ,
eee kumbe ww ushawahi kumwona.mungu akiandka au hajaandikaBy ze way kuolewa ni mipango ya mungu mkuu kama mungu ajakuandikia aiwezekani hata kama ukimaliza waganga wote duniani
eee kumbe ww ushawahi kumwona.mungu akiandka au hajaandika