Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Marriage is just a piece of fucking paper.
(excuse my manner [emoji57])

Kuna tofauti kati ya kuishi na mtu na kuoana,
kama unazungumzia wale ambao wanaishi peke yao bila wapenzi hiyo ni another case,

Find Money and you will get your happiness.
Money can't buy happiness! !

Don't u think that! ??
 

Hawapendi kuambiwa ukwel🤣🤣
 

Kama nan?
 
Kila jambo na majira yake. Ipo siku yao ya kuona furaha

Ingawa wengine wanapenda kuwa single kwa sababu zao...wapo wadangaji pia.

Nilishawahi kuona wadada wakikataa kuolewa, wanapewa hadi pete ya uchumba lakini wanaishia kuifungia kabatini...kisa ati bado hajanivutia ngoja nivute naye muda huku nikisubiri the right person. Muda unaenda weeee jamaa wanabadili mawazo na kufuata wenye utayari....bado wanasubiri the right person
 

Wacha waendlee kusubir tu
 
Kila mtu na choices zake, inawezekana kweli wapo wanaotaka kuolewa lakini the time isn't right, mtu waliopangiwa hajaonekana lakini umri hausubiri, afanye nini mtu wa namna hii, she needs to wait, patiently coz there's nothing she can do to change her situation.

Ninachopenda kuwaambia wenzangu, ni vizuri sana kutafuta watoto (kama unataka) katika umri mdogo(25-35) na isizidi 40yrs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…