Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

una aki
Kwani ni lazima kuoa ? Ama kuolewa
Hii style ya maisha inatukwamisha sana mimi nazalosha tu swala la kuoa huwa sifikirii
Akilizako kama za boya moja nlikuaga nae eti anasema kabisa hataki kuoa haa nikamuacha mchana kweupe sijui nani alimwambia mi nataka vitombi..ms....nge sana yule kaka..na bora alitamka mapema.
 
Marriage is just a piece of fucking paper.
(excuse my manner [emoji57])

Kuna tofauti kati ya kuishi na mtu na kuoana,
kama unazungumzia wale ambao wanaishi peke yao bila wapenzi hiyo ni another case,

Find Money and you will get your happiness.
 
una aki

akilizako kama za boya moja nlikuaga nae eti anasema kabisa hataki kuoa haa nikamuacha mchana kweupe sijui nani alimwambia mi nataka vitombi..ms....nge sana yule kaka..na bora alitamka mapema.
Vp nafasi bado ipo wazi?
 
Ndoa ingekuwa lazima kwa mwanamke basi tungekuwa tunazaliwa na vyeti vya ndoa mkononi ili ukipata ufahamu tu unamjua mme wako nani
Au papuchi zingeandikwa majina ya mmiliki toka tumboni
Unless otherwise
Ndoa sio lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…