Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Hao watu unawazungumzia wakiwa kwenye makazi yao wako na Mekaup,picha za kwenye mitandao hata hivyo umri wa madam Ritta na k_lyn huwezi kuwaweka kwenye kundi la kufubaa.kumbe sio kweli kwamba sperm zinamfanya mtu anawiri na kuvutia.
Basi nitolee mfano ulio hai zaidi. Mimi leo hii nikikaa na wanawake (japo sio wote) ambao nilisoma nao shule ya msingi.
Naonekana kama mdogo wao.
Hivi Madam Ritta nae ni Cha pombe au K_lyn maana na wao bila msaada wa make up mambo hayaendi.