Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Hao watu unawazungumzia wakiwa kwenye makazi yao wako na Mekaup,picha za kwenye mitandao hata hivyo umri wa madam Ritta na k_lyn huwezi kuwaweka kwenye kundi la kufubaa.
 
Hahaha!!
U are so stubborn! !

What do u think!!

Is it more valuable than friends and family!??

In the end friend and Family are what truly bring us happiness!!

Has to be more to life than the money and shiny things!!

Happiness is your choice so YES, Money CAN buy Happiness.
 
Hahaha!!
U are so stubborn! !

What do u think!!

Is it more valuable than friends and family!??

In the end friend and Family are what truly bring us happiness!!

Has to be more to life than the money and shiny things!!
Wangapi wametengwa na familia zao, wamesalitiwa na rafiki zao,

Bro, maisha yana pande mbili usikariri ya kwako ndio ukadhani ni kila mtu yuko nayo,

Bado nipo sahihi, FURAHA ni uchaguzi kama hapo ulivyochagua kua familia na marafiki ndio furaha yako na wengine wanachagua club ndio furaha yao, wengine wanachagua pombe ndio furaha yao, wengine wanachagua wanyama ndio furaha yao, n.k.
 
Umeolewa bibie?
 
Sawa kabisa wala hujakosea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…