Rozanna Agro Africa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 809
- 793
Wakiolewa hujisahau pia, kwa sababu tu anakuwa anatongozwa na wanaume weng anahisi hata akiachika ataolewa fasta na mwingne, anasahau wanaume wangapi huko nyuma wamechapa na kusepa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakiolewa hujisahau pia, kwa sababu tu anakuwa anatongozwa na wanaume weng anahisi hata akiachika ataolewa fasta na mwingne, anasahau wanaume wangapi huko nyuma wamechapa na kusepa
Wasubiri watakujibu wahusika
Kwamba ww so mhusika??
Yeah; nafai hii inawahusu ambao hawajaolewa na umri w kuolewa umefik au nimekosea?
Naona unawapa makavukwa nini usiolewe,utakuwa una matatizo wewe
Shoga uolewe tu, ndo Ina raha yakeutajuaje mimi ni sister wa Covenant ya JF?
Dada zetu mseme ukweli hivi huwa unajiskiaje mwenzako anaolewa afu wewe huolewi?? Ulishawai kaa chini ukajiuliza why siolewi??
Unajiskiaje unaletewa card ya mwaliko afu ww miaka nenda rud unagegedwa tu huolewi
Unajiskiaje unahudhuria kwenye harusi za wenzako afu wew upo tu??? Huolewi
Au bado unaamini wakati wako wa kuolewa hujafika?? Ukiona una age 30+ na hujaolewa bhs jua kuna sehem unakosea na age hio possibility ya kuolewa ni ndogo sana.
JIMAPILI NJEMA.
Atatoka povu mtu asie na hela, we all know pesa ndio kigezo kikuu.😂😂😂Hapo kwenye vigezo ndio unapoanza kuwatoa povu kaka zako, wanaumia kishenzi kuambiwa hawana vigezo
Mi siwazi ubaya but akili ya mwanamke kwangu ni muhimu sana. Nataka mke mwenye hekima zaidi.Malizia mkuu, wanaume wenye akili za kitoto wanaowaza uzuri tu na sio maisha.
Ahaa kumbe kila aliyeolewa anainjio maishatulia wewe, mwanamke bila mwanaume hajakamilika,hakuna mwanamke ambaye hajawahi kuwa na ndoto ya kuolewa,tafuta mwanaume uenjoy maisha,utaishi upweke hadi lini?
Nataka mke mwenye hekma na msambwanda juu.Mi siwazi ubaya but akili ya mwanamke kwangu ni muhimu sana. Nataka mke mwenye hekima zaidi.
Sio kwa kila mtu mpenziAtatoka povu mtu asie na hela, we all know pesa ndio kigezo kikuu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Haha na ndo hapo wanaume tunapofeli tunatakaga wanawake waliokamilika wakati kiuhalisia duniani hakuna binadamu aliyekamilikaNataka mke mwenye hekma na msambwanda juu.
Wewe haikuhusu kabisa[emoji41]
hainihusu nilishatoka huko broo; tena mimi niliolewa a month baada ya kumaliza chuo kwa hiyo sikupitia hiyo hali ya kubungaaa[emoji10][emoji3]
Nataka mke mwenye hekma na msambwanda juu.
Hekma yake itasaidia kizuia hiloUtachapiwa wewe
Hongera sana, ulimaliza mwaka gan
Hekma yake itasaidia kizuia hilo