Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji848]Hello
Karibu
Wewe ndio huyo dada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848]Hello
Karibu
Acha hizo[emoji848]
Wewe ndio huyo dada?
Sijaelewa mkuuAcha hizo
Uzi ukionekanaje?Huu uzi ukionekana hv ni shida
Anaolewaje kwa mfano? Ukimwalika aje weekend akishafika anashinda kwenye makochi na kuchati kwenye magroup tu.Dada zetu mseme ukweli hivi huwa unajiskiaje mwenzako anaolewa afu wewe huolewi?? Ulishawai kaa chini ukajiuliza why siolewi??
Unajiskiaje unaletewa card ya mwaliko afu ww miaka nenda rud unagegedwa tu huolewi
Unajiskiaje unahudhuria kwenye harusi za wenzako afu wew upo tu??? Huolewi
Au bado unaamini wakati wako wa kuolewa hujafika?? Ukiona una age 30+ na hujaolewa bhs jua kuna sehem unakosea na age hio possibility ya kuolewa ni ndogo sana.
JIMAPILI NJEMA.
Anaolewaje kwa mfano? Ukimwalika aje weekend akishafika anashinda kwenye makochi na kuchati kwenye magroup tu.
Hajui chai imepikwa na nani wala vyombo vimeoshwa na nani....
Wala hashughuliki na kutaka kujua shughuli za hapo zaendaje...
Najiskia vizur na kusema mashaAllah hizo ni katika neema za Mungu (mali) walizopewaMkuu...Unajisikiaje pale wenzako wanavyojenga magorofa na kununua Range Rover na wewe upo umebung'aa TU?
What is meant to be yours will eventually reach you. vice versa is true
Basi..na Mimi husemaMungu humpa yule amtakae,napia naomba Dua kwa Allah anifanyie wepesi...Najiskia vizur na kusema mashaAllah hizo ni katika neema za Mungu (mali) walizopewa
Mkuu...Unajisikiaje pale wenzako wanavyojenga magorofa na kununua Range Rover na wewe upo umebung'aa TU?
What is meant to be yours will eventually reach you. vice versa is true
Najiskia vizur na kusema mashaAllah hizo ni katika neema za Mungu (mali) walizopewa
Mkuu..mpaka Hapo hauna uwezo huo wakununua Range Wala kumiliki Hizo Kasri.Namind nanunua gari yangu
Hata sisi tunajisikia hivyohivyoNajiskia vizur na kusema mashaAllah hizo ni katika neema za Mungu (mali) walizopewa
Naam inapendeza usiwe na shaka Mungu atajibu kwa wakati sahihi ukifikaBasi..na Mimi husemaMungu humpa yule amtakae,napia naomba Dua kwa Allah anifanyie wepesi...
Nilishajikataza Tabia za kuchukia Watu na mafanikio yao,nishajikataza kuwa na husda chuki na wivu..namuomba mola aniondoshee maradhi hayo ya moyo.
Blowing someone else's candle doesn't make yours shine brighter.
Mkuu..mpaka Hapo hauna uwezo huo wakununua Range Wala kumiliki Hizo Kasri.
Kwaiyo Kama kuumia roho utaumia au Kama kupotezea utapotezea au Kama utafunga na kusali..au Utafanya kazi kwa bidii upate vyako..
Kwaiyo Kukujibu swali lako, wapo wanao umia, wapo ambao hawajali na wapo ambao hawana time kabisa na swala Hilo..wapo wanao funga na kuomba wapate mwenza...So.inategemea na mtu
Mkuu nimesoma thread zako nyingi wewe.....Unapesa yakwaida TU HUNA utajiri wowote ule...Aisee embu pinga hio kauli usifikiri watu ambao tuko jf ni maskini dada pole sana.. jf tunapotezea stress tu, tukitoka kwenye harakat
Jukumu la kuowa ni la mwanaume, mwanaume asipoamua kuowa ndoa haitakuwepo hivyo Mwanamke anaejitunza na kujithamin/kujielewa hawezi kuwa na kosa/hatia pindi akichelewa kuolewa..Hata sisi tunajisikia hivyohivyo
Mkuu nimesoma thread zako nyingi wewe.....Unapesa yakwaida TU HUNA utajiri wowote ule...
Kumiliki gari ya kawaida ya kutembelea na iPhone Sio utajiri Mkuu...Ni maisha yakawaida hayo.
[emoji3][emoji3][emoji3]...Nikweli KABISAA nafuatilia coz unapost...Hivyo Basi hujafika hate miaka30Seems unafatilia maisha angu pole sana fanya yako dada[emoji28][emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3]...Nikweli KABISAA nafuatilia coz unapost...Hivyo Basi hujafika hate miaka30
Eti na wewe Unajiita tajiri kisa umeajiriwa.
Kijana be humble....unasafari ndefu Sana..hata uchumi wakati hujafika.