Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

acha ubishi Unazungumzia sample ndogo ya wanaume waliojikatia tamaa uzeeni ndo wanaoa vibibi

Take it from me Kama mwanaume sisi hatuoi wanawake age imeenda vizee venyewe vinaoa vibinti yaan kuna miaka ikifika sisi kama wanaume hatukuoi

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
acha ubishi Unazungumzia sample ndogo ya wanaume waliojikatia tamaa uzeeni ndo wanaoa vibibi

Take it from me Kama mwanaume sisi hatuoi wanawake age imeenda vizee venyewe vinaoa vibinti yaan kuna miaka ikifika sisi kama wanaume hatukuoi

Kabisa mkuu
 
There you are infact hivi vidada vya chuo ukiviambia ukweli bas vina vimbaga utasikiaa ooh kwan kuolewa ni lazima wengine utaskia hatuna mpango wa kuolewa na wengine oooh siwaamin wanaume coz wote wako sawa.....

Sasa mi nawaza ukimtizana dada mwenyewe ndo kwanza ana miaka 19/20 then.....................dah huwa nacheka sana kweli The future is exiting....

yajayo nafurahishaa
 
Kwa wanawake hii ni changamoto sana ila kwa sisi wanaume ni suala la maamuzi tuu.

Wanawake nao wana choises zao. Lakini sasa kumpata mtu anaempenda yeye ndio issue. Wanawake inabidi wawapende wenzi wao sababu nao wanawapenda wao
Ndio maana side chiks ni nying na hazitokuja kuishaa her choice is her friend's Hubby
 
Vizuri sana..infact namuonea huruma..esp.apate mwanaume mwenye upeo mdogo km wako.
 
Acheni kurudia mad na mnamajibu mnataka tufe au tuwalogee shie huyu.
 

Watapata tabu tupo kwa majimama sahivi[emoji23][emoji119]
 
Mtoa mada nikuulize na wewe unajiskiaje ukiona vijana walio sawa naa wewe kiumri au wengine wadogo zaidi yako wanafikwa na umauti na wewe bado upo tu unadunda huku duniani? Hua unajiskia mungu amekusahau au?



Tusiulizane maswali ya kipuuzi ndoa ni mipango ya mungu sio ya binadamu ni Rizqi kama Rizq nyingine zinavotolewa kwa muda na saa mungu anayotaka
 

Mkuu umeenda beyond sana, nje na topic
 
Kweli kabisa, walio wengi hawajajua hii inshu hadi iwafike ndipo hujua ukweli wa mambo;

Fikiria unaongea na ke 34 yrs anakwambia haamini siku atakayopata mume! Anasema anahisi atakufa kwa furaha siku ya ndoa akibahatika! Na hapo hana hata mchumba! Na amesoma na anaendesha maisha yake.

Kwahiyo hao wanaojichetua hivyo ni kuwaacha tu watajionea wenyewe!
 
Haha aise umenikumbusha mzee wa upako aliulizwa eti kufa masikini ni ujinga akajibu siyo ujinga tu ni ufala kabisa
Beyond what? Si unataka watu wajilinganishe na wengine.
MO DEWJI mwanaume kama wewe mbona yeye ana pesa kukuzidi? Riziqi mafungu saba mzee baba kila mtu ana fungu lake. Kupata kwa mwenzio sio ujanja wake au wewe kukosa sio uzembe wako.
 
Tatizo tunakariri sana, siyo kila mwanamke dunia hii anataka au ana mpango wa kuolewa haijalishi umri wake take this from me wapo wanawake tena wengi tu wasiotaka kusikia kitu kinachoitwa ndoa.
 
Hello
Naomba kuongea nawewe dear kama hutajali.
Nasubiri jibu dada yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…