Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Anaolewaje kwa mfano? Ukimwalika aje weekend akishafika anashinda kwenye makochi na kuchati kwenye magroup tu.
Hajui chai imepikwa na nani wala vyombo vimeoshwa na nani....
Wala hashughuliki na kutaka kujua shughuli za hapo zaendaje...
 
Najiskia vizur na kusema mashaAllah hizo ni katika neema za Mungu (mali) walizopewa
Basi..na Mimi husemaMungu humpa yule amtakae,napia naomba Dua kwa Allah anifanyie wepesi...

Nilishajikataza Tabia za kuchukia Watu na mafanikio yao,nishajikataza kuwa na husda chuki na wivu..namuomba mola aniondoshee maradhi hayo ya moyo.

Blowing someone else's candle doesn't make yours shine brighter.
 
Namind nanunua gari yangu
Mkuu..mpaka Hapo hauna uwezo huo wakununua Range Wala kumiliki Hizo Kasri.

Kwaiyo Kama kuumia roho utaumia au Kama kupotezea utapotezea au Kama utafunga na kusali..au Utafanya kazi kwa bidii upate vyako..

Kwaiyo Kukujibu swali lako, wapo wanao umia, wapo ambao hawajali na wapo ambao hawana time kabisa na swala Hilo..wapo wanao funga na kuomba wapate mwenza...So.inategemea na mtu
 
Naam inapendeza usiwe na shaka Mungu atajibu kwa wakati sahihi ukifika
 

Aisee embu pinga hio kauli usifikiri watu ambao tuko jf ni maskini dada pole sana.. jf tunapotezea stress tu, tukitoka kwenye harakat
 
Aisee embu pinga hio kauli usifikiri watu ambao tuko jf ni maskini dada pole sana.. jf tunapotezea stress tu, tukitoka kwenye harakat
Mkuu nimesoma thread zako nyingi wewe.....Unapesa yakwaida TU HUNA utajiri wowote ule...

Kumiliki gari ya kawaida ya kutembelea na iPhone Sio utajiri Mkuu...Ni maisha yakawaida hayo.
 
Hata sisi tunajisikia hivyohivyo
Jukumu la kuowa ni la mwanaume, mwanaume asipoamua kuowa ndoa haitakuwepo hivyo Mwanamke anaejitunza na kujithamin/kujielewa hawezi kuwa na kosa/hatia pindi akichelewa kuolewa..
ila kinyume chake unaweza kuwa na hatia labda kutokana na kutokua muaminifu, kutokujithamin, tabia isiyo ridhisha ikiwa upo kund hilo inaweza kuwa sababu ya kutokuolewa ni kosa lako.
 
Mkuu nimesoma thread zako nyingi wewe.....Unapesa yakwaida TU HUNA utajiri wowote ule...

Kumiliki gari ya kawaida ya kutembelea na iPhone Sio utajiri Mkuu...Ni maisha yakawaida hayo.

Seems unafatilia maisha angu pole sana fanya yako dada[emoji28][emoji28]
 
[emoji3][emoji3][emoji3]...Nikweli KABISAA nafuatilia coz unapost...Hivyo Basi hujafika hate miaka30
Eti na wewe Unajiita tajiri kisa umeajiriwa.

Kijana be humble....unasafari ndefu Sana..hata uchumi wakati hujafika.

Sawa reporter wangu, post zako zinaonesha huna aman njo dm tuyajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…