Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Kwani unatafuta mchumba mkuu?
 
Ni ngumu wanawake wote kuolewa, kumbuka wanawake ni zaidi ya mara mbili ya wanaume, hata wanaume wote wakioa wanawake wawili wawili bado watabaki wengi tu wasioolewa.
Sio kweli.
Idadi ya wanaume na wanawake inalingana, kwenye statistics outliers hazikwepeki. Demographics haidanganyi.
Maisha ni magumu kwa wanaume wengi, wanasita kuoa kwa sababu ya ugumu wa maisha! Wanawake wengi hawataolewa, ni reality ya maisha. Painful, lakini ndio hivyo! Umasikini.
 

Acha kudanganya tukija kwenye stats wanawake ni weng mkuu
 
We
hainihusu nilishatoka huko broo; tena mimi niliolewa a month baada ya kumaliza chuo kwa hiyo sikupitia hiyo hali ya kubungaaa[emoji10][emoji3]
ilikuwa lazima uolewe tu. Hata ingekuwa mie ningekuoa chap chap!

Hivi katika dunia ya leo naachaje mwanamke anaejitambua kwa mfano wako. Mwanamke anaeyweza kuzi define social roles & gender roles zake vizuri na akaziishi...i mean nothing comes above that!
 
Kiukweli they feel panful, horrible and unsuccessful


My distant sister was married at 37 the family saw the struggle...ila kwa kizazi cha wanachuo wa tangu 2015 nafkiri situation zinarandana ingawa men have no menopozi.
Duru zinaonesha life span ya hiki kizazi tajwa ni fupi kulingana na hizo stress za kiuchumi
 
Anavimba[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna mwamba tukapeleka barua, tukapokelewa kwa nderemo na vifijo, tukaenda kutoa mahali Mil 2.7, ikapangwa tarehe ya send off kabisa. Wiki 3 baadae shemeji ananipigia simu analia eti jamaa hamwelewi amebadilika.........
Nikamwendea hewani mwamba, akawa amebadilika kbs hataki kusikia habari yyt khs yule shemeji na kwamba tusiongele tena hilo suala.... ndo ikawa imeisha hiyoooo!!!
 
Ni kweli kabisa huwa tunapenda Sana chura
 
Mkuu nimesoma thread zako nyingi wewe.....Unapesa yakwaida TU HUNA utajiri wowote ule...

Kumiliki gari ya kawaida ya kutembelea na iPhone Sio utajiri Mkuu...Ni maisha yakawaida hayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Watu wanajikuta akina Mo
 

Jamani nini kilitokea? Ni kwamba huyo dada alimkosea au?
 
Je wewe umeshaolewa na kuzaa? Kuna wengine wanaolewa ila ni kama magalasa tu, hayazai wapo wapo tu na kujutia kwanini waliolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…