Champagnee yeye mwenyewe anasema ataoa akifika Miaka 35..Sio Kwamba hawezi anaweza ila ndo kaamua hivyo.
Sasa huyo.mwanamke ambae wewe hujamuoa...ukamuulize anajisikiaje Kusikia shosti zake wameolewa.
Maana ungekuwa na Akili hata ya kumimina Kvant kwenye glass..ungemuoa huyo unae mlala kila siku..ndonuje ulete bandiko hapa.
Wanahasira hao, wanaishia kutembea n mabwana wa marafiki zao na wadada zao, full kujiachiaDada zetu mseme ukweli hivi huwa unajiskiaje mwenzako anaolewa afu wewe huolewi?? Ulishawai kaa chini ukajiuliza why siolewi??
Unajiskiaje unaletewa card ya mwaliko afu ww miaka nenda rud unagegedwa tu huolewi
Unajiskiaje unahudhuria kwenye harusi za wenzako afu wew upo tu??? Huolewi
Au bado unaamini wakati wako wa kuolewa hujafika?? Ukiona una age 30+ na hujaolewa bhs jua kuna sehem unakosea na age hio possibility ya kuolewa ni ndogo sana.
JIMAPILI NJEMA.
Tyr,dawa ishaingia...tulia hvyohvyo na viburi vyenu...muendelee kubaki home.Ni sawa mtu aje akuulize wewe mtoa mada kwanini hujakufa hadi leo akati kuna watu rika lako na wengine wadogo kwako wamekufa kitambo wewe upo tu unabung'aa? Si utaona uchuro anakuchuria.
Du yaani zamani kuolewa ilikuwa ni lazima siku hizi kuolewa ni majaliwa na kuzaa sijui itakuwajeKuolewa ni majaliwa
Kwa kweli sikuona kosa la kusababisha hilo hitimisho....Jamani nini kilitokea? Ni kwamba huyo dada alimkosea au?
Wanahasira hao, wanaishia kutembea n mabwana wa marafiki zao na wadada zao, full kujiachia
Ni sawa mtu aje akuulize wewe mtoa mada kwanini hujakufa hadi leo akati kuna watu rika lako na wengine wadogo kwako wamekufa kitambo wewe upo tu unabung'aa? Si utaona uchuro anakuchuria.
Jibu kwa mlevi mwanamke ahame anapoishi na aende kuishi uhamishoni, huko uhamishoni inabidi awe na tabia njema Sana kwa kuwa waowaji wapo katika mazingira yanayomzunguka muhusika asianzishe uhusiano na mtu yoyote amkatae kila atakayemtongoza au kwa maneno mengine awape condition ya ndoa na awe anawashauri kuhusu maisha itamfanya aonekane ni mtu smart kuna watakaoingia mkengeWanawake Wenye umri kuanzia miaka 28 -30 ambao Mpaka Sasa hawajaolewa wapewe course gani ili waweze kuolewa!?? Alisikika mlevi mmoja akiuliza swali
Phala mwenyewe. Vyote hivyo majaliwa.Acha ufala, kuolewa na kufa ni vitu tofauti
Still waiting..Sawa, nipo nimefika. Ma sister, talk to me oo
Phala mwenyewe. Vyote hivyo majaliwa.
Wengine wataolewa peponiKufa kila mtu atakufa, kuoa/kuolewa???