Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Champagnee yeye mwenyewe anasema ataoa akifika Miaka 35..Sio Kwamba hawezi anaweza ila ndo kaamua hivyo.

Sasa huyo.mwanamke ambae wewe hujamuoa...ukamuulize anajisikiaje Kusikia shosti zake wameolewa.

Maana ungekuwa na Akili hata ya kumimina Kvant kwenye glass..ungemuoa huyo unae mlala kila siku..ndonuje ulete bandiko hapa.
 
Champagnee yeye mwenyewe anasema ataoa akifika Miaka 35..Sio Kwamba hawezi anaweza ila ndo kaamua hivyo.

Sasa huyo.mwanamke ambae wewe hujamuoa...ukamuulize anajisikiaje Kusikia shosti zake wameolewa.

Maana ungekuwa na Akili hata ya kumimina Kvant kwenye glass..ungemuoa huyo unae mlala kila siku..ndonuje ulete bandiko hapa.

Mwakani naoa, wanajf ntawapa kadi buree
 
Dada zetu mseme ukweli hivi huwa unajiskiaje mwenzako anaolewa afu wewe huolewi?? Ulishawai kaa chini ukajiuliza why siolewi??

Unajiskiaje unaletewa card ya mwaliko afu ww miaka nenda rud unagegedwa tu huolewi

Unajiskiaje unahudhuria kwenye harusi za wenzako afu wew upo tu??? Huolewi

Au bado unaamini wakati wako wa kuolewa hujafika?? Ukiona una age 30+ na hujaolewa bhs jua kuna sehem unakosea na age hio possibility ya kuolewa ni ndogo sana.

JIMAPILI NJEMA.
Wanahasira hao, wanaishia kutembea n mabwana wa marafiki zao na wadada zao, full kujiachia
 
Ni sawa mtu aje akuulize wewe mtoa mada kwanini hujakufa hadi leo akati kuna watu rika lako na wengine wadogo kwako wamekufa kitambo wewe upo tu unabung'aa? Si utaona uchuro anakuchuria.
 
Kweli
Screenshot_20201014-205710_Facebook.jpg
 
Wanawake Wenye umri kuanzia miaka 28 -30 ambao Mpaka Sasa hawajaolewa wapewe course gani ili waweze kuolewa!?? Alisikika mlevi mmoja akiuliza swali
Jibu kwa mlevi mwanamke ahame anapoishi na aende kuishi uhamishoni, huko uhamishoni inabidi awe na tabia njema Sana kwa kuwa waowaji wapo katika mazingira yanayomzunguka muhusika asianzishe uhusiano na mtu yoyote amkatae kila atakayemtongoza au kwa maneno mengine awape condition ya ndoa na awe anawashauri kuhusu maisha itamfanya aonekane ni mtu smart kuna watakaoingia mkenge
Kukaa ulipozaliwa na kukulia nayo ni changamoto masela Wana stori zako kuanzia aliyekutoa bikri mpaka uliyetoa mimba yake waliokupiga mtungo mpaka shughuli unaijua ama haujui nani ataingia mkenge kuoa?
 
well.. Wengine Kwelii hawajabahatika ila wengine ni kutokujua majira, kuna watu waliojitokeza lakini wakakosa macho ya ndani ya kutambua ndio wenzi wao wakiangalia zaidi hali alikuwa nayo mtu kwa wakati huo na hivyo wakawakataa
Ushauri wangu kwa wasichana kuolewa ni vita ya kiroho maana ni Mpango wa Mungu na ndoa hfungua milango mingi ya baraka na mafanikio ikiwa tu utaiendea kwa imani na kwa upendo.
usikimbilie sana vitu maana hivyo vitakuwa furaha ya muda mfupi au hata vinaweza kutoweka.
 
Back
Top Bottom