Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Nia za kuoa tunazo Jeuri na viburi vyenu ndo vinawakimbiza wanaume baadae mnatulalamikia tunafunua kumbe ujuaji mwingi

Nasi tukijitetea nia tunayo yakuolewa kutokujitambua kwenu na kujua wajibu wenu ndovinawakimbiza wanawake afu mnakuja kulalamikia mitandaoni
 
Mkuu hazard Hawa ni vichwa ngumu ujuaji mwingi na dharau ndo maana wanalalamika tunawafunua wakat wao ndo wanatufukuza wanasema wanaume wa siku hizi sio waoaji mbona wenzao wameolewa
Unataka kunuambia mpaka mwanamke anafikisha miaka 30 hajatongozwa au kitakuwa na mtu mwenye malengo na yey?
 
Sio lazima waolewe sababu flank anolewa lakini waolewe pale wanapopata mtu sahihi.
Shida ya wanawake wa siku hizi anataka aolewe na mtu mwenye gari na maisha mazuri tayari hawako tayari kuanza na mtu chini yaani uvumilivu hawana.
 
Wasisingizie mipango ya mungu. dharau, ujuaji kiburi kingi na kuchagua Sana kunawaponza
Masimango nayo!!?
Acheni kusema watoto wa wenyewe,kuolewa ni mipango ya MUNGU.
Na kila mmoja muda utafika.
Acheni kucheza na feelings za kinadada.
 
Sio lazima waolewe sababu flank anolewa lakini waolewe pale wanapopata mtu sahihi.
Shida ya wanawake wa siku hizi anataka aolewe na mtu mwenye gari na maisha mazuri tayari hawako tayari kuanza na mtu chini yaani uvumilivu hawana.

Wanapenda maisha ya kifahari sisi masikin wanatu dump...
 
Kwa maandishi haya hata mimi ningekwambia sitaki ndoa.
una aki

akilizako kama za boya moja nlikuaga nae eti anasema kabisa hataki kuoa haa nikamuacha mchana kweupe sijui nani alimwambia mi nataka vitombi..ms....nge sana yule kaka..na bora alitamka mapema.
 
Back
Top Bottom