Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu mseme ukweli hivi huwa unajiskiaje mwenzako anaolewa afu wewe huolewi?? Ulishawai kaa chini ukajiuliza why siolewi??

Unajiskiaje unaletewa card ya mwaliko afu ww miaka nenda rud unagegedwa tu huolewi

Unajiskiaje unahudhuria kwenye harusi za wenzako afu wew upo tu??? Huolewi

Au bado unaamini wakati wako wa kuolewa hujafika?? Ukiona una age 30+ na hujaolewa bhs jua kuna sehem unakosea na age hio possibility ya kuolewa ni ndogo sana.

JIMAPILI NJEMA.
masimango hayo sasa
 
Mkuu hudhani huu uzi utafanya wazidi kujiskia vibaya?

Kuolewa ni suala lipo nje ya control yao (mara nyingi)

Ulichofanya hapa ni sawa na kumuuliza kiwete anajiskiaje 'kuona wenzie wanatembea kila kukicha'?

Nashauri ufutilie mbali huu uzi kandamizi
niliwahi muuliza kiwete akasema yeye kama yeye. amezoea kuwa hivyo but haoni mbaya ila wengine wanaona mabaya
 
Matokeo ya kuolewa ni mbaya sana, kwanza unageuzwa geuzwa na lijamaa usiku kucha linavo taka, mara uvimbe juu, mara utapike
shit
 
Matokeo ya kuolewa ni mbaya sana, kwanza unageuzwa geuzwa na lijamaa usiku kucha linavo taka, mara uvimbe juu, mara utapike
shit
weweeeee. hyo labda kabla ya ndoa. walio kwenye ndoa wanajua mziki wa kunyimwa hadi miezi. pia mnazoea. si ipo kila siku. muda unakuwa haupo
 
Back
Top Bottom