Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
- Thread starter
- #301
Naliaga kwa uchungu nikisema ee Mola.............
Kama ni kufua, kudeki, kusafisha vyombo najua!
Kama ni kumsalimia mama mkwe, wifi na mashemeji kwa goti, nimefunzwa
Kama ni kulima na kutunza mifugo, including watoto wa kufikia pia nipo tayari; Sasa kwanini unitupe mja wako kwa kuwa sina chura🤦🏾♀️!
Kip praying mungu atakuona tu!! Au ndo walewale wa snapchat?