Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Naliaga kwa uchungu nikisema ee Mola.............
Kama ni kufua, kudeki, kusafisha vyombo najua!
Kama ni kumsalimia mama mkwe, wifi na mashemeji kwa goti, nimefunzwa
Kama ni kulima na kutunza mifugo, including watoto wa kufikia pia nipo tayari; Sasa kwanini unitupe mja wako kwa kuwa sina chura🤦🏾‍♀️!

Kip praying mungu atakuona tu!! Au ndo walewale wa snapchat?
 
Naliaga kwa uchungu nikisema ee Mola.............
Kama ni kufua, kudeki, kusafisha vyombo najua!
Kama ni kumsalimia mama mkwe, wifi na mashemeji kwa goti, nimefunzwa
Kama ni kulima na kutunza mifugo, including watoto wa kufikia pia nipo tayari; Sasa kwanini unitupe mja wako kwa kuwa sina chura🤦🏾‍♀️!
Pole haya kaka zangu mke mwema huyu hapa 😊😊
 
Hahahaha halafu zile comments zake ukizichunguza kwa makini kama zilikuwa message sent kwa mtu fulani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupigwa cha mbavu kisa hauna kitu maumivu yake huwa hayaishi. Usione bar zinajaa ukafikiri watu wanaenjoy.

Wasijali, with time watapona tu na watawapata watu sahihi kwao. Hayo ndio maisha.
 
Mtu aliye beba mzigo wa chuki kiasi kile amini dear huyo atakaye mpata ama kama yuko nae atapata tabu sana humu Kuna comments ukisoma unaelewa mahusiano yake uko yakoje hata kama ni feki I'd.
 
Mtu aliye beba mzigo wa chuki kiasi kile amini dear huyo atakaye mpata ama kama yuko nae atapata tabu sana humu Kuna comments ukisoma unaelewa mahusiano yake uko yakoje hata kama ni feki I'd.
Huoni hata threads za kulialia nyingi humu ni za me.
Yote tisa njoo comments za wanaume wenye ndoa humu ndio utachoka bandama na firigisi.
 
Ngoja akakutane na kina gurudume watuletee sreenshort jukwaani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi yule mtu hata miaka 17 amefikisha kweli[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Mungu atusaidie kwa kweli wanawake tuna kazi ya ziada kwa kweli.
Tuna mafurushi acha tu.
Kuna thread moja jana nimeisoma nikahisi kusisimkwa kwa hasira. Kibinti kina 25 tu ila huyo mwanaume alonae ni furushi hatari. Na ni member wa humu maana alikuta kwenye simu yake akishare namba za wauzaji.

Just imagine binti mdogo hivyo anapitia mazito hivyo[emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom