The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
Unakuta mwanamke ana miaka 32+ mwanaume anampigia simu bila aibu mwanamke anauliza namba yangu umetoa wapi,,?
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana nilikua na ufunguo wa ziada...Ulilala nje au uliruka ukuta?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo ya kuolewa na mbugila mbugila nani anataka..si bora ijulikane tu nimekosa mume kuliko kuingia majaribuni...mapenzi ya Mungu yatimizwe na yataridadi.
Afadhali, maana sipati picha ungeruka ukuta pia ungekuwa na hasira kiasi gani leo.Jana nilikua na ufunguo wa ziada...
Wooooi!!Unakuta mwanamke ana miaka 32+ mwanaume anampigia simu bila aibu mwanamke anauliza namba yangu umetoa wapi,,?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kila mtu ana jinsi anavyoyaona maisha, just imagine kauli kama hii...Money is your happiness! Huh.... hongera.
wala mimi sio slay Q basi tu nadhani watu hatufanani.
Nimegundua nikiwa vyombo naongea ukweli bilq unafki[emoji1787][emoji1787]
Magu anavyotufanyia sio kabisaaaa[emoji134][emoji134][emoji134]
Unakuta mwanamke ana miaka 32+ mwanaume anampigia simu bila aibu mwanamke anauliza namba yangu umetoa wapi,,?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoa za kiafrica zinatisha sana, labda niende nje ya Africa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu mzima aloshindwa na wazazi wake.
Kuolewa Yes,,baby sitting no! So nadhani natakiwa kuolewa na mtu mwenye tamaduni tofauti kidogoMwanamke ambae hapend kuolewa sio mzma kabisa maybe uwe msagaj sawa, hta wasagaj wanataka kuolewa
Lakini mim sio mpigaji mkuuunataka unimalaishe sasa sio..sipo ivo
Kuolewa Yes,,baby sitting no! So nadhani natakiwa kuolewa na mtu mwenye tamaduni tofauti kidogo
Tunajisikia vizuri na vibaya
Hakuna cha kufanya bwana labda kama tunataka kuolewa kuwafurahisha watu.Ingependeza sasa ungewashauri nini wafanye ili wapate kuolewa chief...