Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Mambo ya kuolewa na mbugila mbugila nani anataka..si bora ijulikane tu nimekosa mume kuliko kuingia majaribuni...mapenzi ya Mungu yatimizwe na yataridadi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We hebu acha kiburi, wewe beba tu ilimradi uwe mke wa mtu.

Waume wenyewe ndio hawa akina hazard cfc na Champagnee [emoji134][emoji134]
Twafwaaaaa.
 
Mi natamani nikiona mashoga zangu kila mwezi nawachangia harusi sema sina haraka najua atakuja mtu ila ndo lini sijui na nishasema sitaki ndoa ya majaribio ya kuwafurahisha binadamu.

Wakati ukifika na mie nitakua Mrs. somebody inshallah
 
Back
Top Bottom