Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tamaduni ambayo mwanaume hafanyiwi kila kituTamaduni gan mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kipindi unajiuliza why na una feel guilty..ila baada ya muda unazoea tu...hata hustuki...By Kikongwe
AmenMi natamani nikiona mashoga zangu kila mwezi nawachangia harusi sema sina haraka najua atakuja mtu ila ndo lini sijui na nishasema sitaki ndoa ya majaribio ya kuwafurahisha binadamu.
Wakati ukifika na mie nitakua Mrs. somebody inshallah
Hakuna cha kufanya bwana labda kama tunataka kuolewa kuwafurahisha watu.
Ila kuolewa ni wakati wa mtu ukifika tu anaolewa wala hakuna muujiza wa kwanini mwingine kaolewa mwingine hajaolewa wakati hata hajafa
Kuna kipindi unajiuliza why na una feel guilty..ila baada ya muda unazoea tu...hata hustuki...By Kikongwe
You never know kesho yao itakuaje.Na wenye 50 yrs hawjaolewa unasemaje?
Amen
Ndio ndio...ishapangwa hiyo2022 ama nini
Wewe ni kikongwe kwahyo
mnhhh
Wengi wao wanataka wakiingia kwenye mahusiano wawe ni wenye amri, hii hali mwanaume yeyote lazima akule kona labda utangulie kumpa limbwata, maana ki asili mwanaume ameumbwa na mamlaka kama haja chakachuliwa kwa hiyo akikutana na ubabe kutoka kwa mwanamke tayari huyo anakuwa ameshapoteza sifa ya kwanza, ni unyenyekevu kwa mme.
Limbwata za siku hizi ni vidonge na sindano za wazungu.Hv bado wanawake wanatumia limbwata enzi hizi?
Wewe hiyo U_Afrika unaiacha wapi? Ila tuseme ukweli wadada wengi wanajiaribia wenyewe kwa kujiona bado wanalipa na muda upo upande waob; akijiona kua anatongozwa na wengi basi ata utangaze ndoa atakuambia anayo mpenzi wake wanapendana sana ..ikikaribia machuo ndo wanaanza kutabasamu ovyo ovyo tu na kila mwanaumeNdoa za kiafrica zinatisha sana, labda niende nje ya Africa
Mi natamani nikiona mashoga zangu kila mwezi nawachangia harusi sema sina haraka najua atakuja mtu ila ndo lini sijui na nishasema sitaki ndoa ya majaribio ya kuwafurahisha binadamu.
Wakati ukifika na mie nitakua Mrs. somebody inshallah
Utumwa huo unipite mbali.Imagine kuolewa kwa kupretend wala humpendi mume kisa tu watu wasikusakame nakuambia kuishi na mtu humpendi utamtesa tu
Siamini katika hili, but wanawake wengi huwa wanafanya kosa moja kubwa ambalo hawataki kulikubali na kujiepusha nalo...kipindi kile muhimu Cha kufanya chaguo la mwenza wa maisha wao huwa bize kugawa kea kuangalia material things na sio uhalisia,bahati mbaya ni kuwa wale wanaostahili kuwa waoaji kipindi hiki wengi wao unakuta ndio wanatengeneza so hawana hizo material things ....na bahati mbaya zaidi wenye nazo wengi wao wanakuwa ni players coz wanajua sifa za walio upande wa pili na wana uhakika kupata hata watano kwa siku wakiamua.wanakuja kustuka umri umeenda na wameshachakazwa Hadi wamekuwa screpa wanaishia kusema yeyote tu aje nitakubali kuolewa naye!Mkuu hudhani huu uzi utafanya wazidi kujiskia vibaya?
Kuolewa ni suala lipo nje ya control yao (mara nyingi)
Ulichofanya hapa ni sawa na kumuuliza kiwete anajiskiaje 'kuona wenzie wanatembea kila kukicha'?
Nashauri ufutilie mbali huu uzi kandamizi
Hapo Hadi umri huo ushagongwa na wangapi?au unajipa matumaini kuwa hawakusemi unavyogongwa?Kama umeamua huolewi kwa kusubiria aliye sahihi acha kugongwa!kwa sababu huwezi jua ni wangapi walikuja kea Nia ya kukupa lakini walivyoulizia wakaambiwa unagongesha wakasepa kimya kimya,and may be walikuwa na sifa uzitakazo.Utumwa huo unipite mbali.
Yani waseme mpaka midomo iende upande kuwa siolewi ila ndoa ya kuwafurahisha wasahau..
Kama umeongea kutoka moyoni mwako, Naomba Mungu akukumbuke na akuguse.Naona wivu sana ila siharibu harusi ya mabest zangu.
Ila roho inauma