Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Mi natamani nikiona mashoga zangu kila mwezi nawachangia harusi sema sina haraka najua atakuja mtu ila ndo lini sijui na nishasema sitaki ndoa ya majaribio ya kuwafurahisha binadamu.

Wakati ukifika na mie nitakua Mrs. somebody inshallah
Amen
 
Hakuna cha kufanya bwana labda kama tunataka kuolewa kuwafurahisha watu.
Ila kuolewa ni wakati wa mtu ukifika tu anaolewa wala hakuna muujiza wa kwanini mwingine kaolewa mwingine hajaolewa wakati hata hajafa

Na wenye 50 yrs hawjaolewa unasemaje?
 
Wengi wao wanataka wakiingia kwenye mahusiano wawe ni wenye amri, hii hali mwanaume yeyote lazima akule kona labda utangulie kumpa limbwata, maana ki asili mwanaume ameumbwa na mamlaka kama haja chakachuliwa kwa hiyo akikutana na ubabe kutoka kwa mwanamke tayari huyo anakuwa ameshapoteza sifa ya kwanza, ni unyenyekevu kwa mme.
 
Hv bado wanawake wanatumia limbwata enzi hizi?
 
Ndoa za kiafrica zinatisha sana, labda niende nje ya Africa
Wewe hiyo U_Afrika unaiacha wapi? Ila tuseme ukweli wadada wengi wanajiaribia wenyewe kwa kujiona bado wanalipa na muda upo upande waob; akijiona kua anatongozwa na wengi basi ata utangaze ndoa atakuambia anayo mpenzi wake wanapendana sana ..ikikaribia machuo ndo wanaanza kutabasamu ovyo ovyo tu na kila mwanaume
 
Mi natamani nikiona mashoga zangu kila mwezi nawachangia harusi sema sina haraka najua atakuja mtu ila ndo lini sijui na nishasema sitaki ndoa ya majaribio ya kuwafurahisha binadamu.

Wakati ukifika na mie nitakua Mrs. somebody inshallah

Imagine kuolewa kwa kupretend wala humpendi mume kisa tu watu wasikusakame nakuambia kuishi na mtu humpendi utamtesa tu
 
Mkuu hudhani huu uzi utafanya wazidi kujiskia vibaya?

Kuolewa ni suala lipo nje ya control yao (mara nyingi)

Ulichofanya hapa ni sawa na kumuuliza kiwete anajiskiaje 'kuona wenzie wanatembea kila kukicha'?

Nashauri ufutilie mbali huu uzi kandamizi
Siamini katika hili, but wanawake wengi huwa wanafanya kosa moja kubwa ambalo hawataki kulikubali na kujiepusha nalo...kipindi kile muhimu Cha kufanya chaguo la mwenza wa maisha wao huwa bize kugawa kea kuangalia material things na sio uhalisia,bahati mbaya ni kuwa wale wanaostahili kuwa waoaji kipindi hiki wengi wao unakuta ndio wanatengeneza so hawana hizo material things ....na bahati mbaya zaidi wenye nazo wengi wao wanakuwa ni players coz wanajua sifa za walio upande wa pili na wana uhakika kupata hata watano kwa siku wakiamua.wanakuja kustuka umri umeenda na wameshachakazwa Hadi wamekuwa screpa wanaishia kusema yeyote tu aje nitakubali kuolewa naye!
 
Utumwa huo unipite mbali.
Yani waseme mpaka midomo iende upande kuwa siolewi ila ndoa ya kuwafurahisha wasahau..
Hapo Hadi umri huo ushagongwa na wangapi?au unajipa matumaini kuwa hawakusemi unavyogongwa?Kama umeamua huolewi kwa kusubiria aliye sahihi acha kugongwa!kwa sababu huwezi jua ni wangapi walikuja kea Nia ya kukupa lakini walivyoulizia wakaambiwa unagongesha wakasepa kimya kimya,and may be walikuwa na sifa uzitakazo.
 
Back
Top Bottom