Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ni sahihi ila kwa mwanamke makini ha,akuna mwanaume mchezeaji. Ukijiweka kuchezewa utachezewa haswa, ila ukiwa serious hata mwanaume mwenyewe anajipanga kuku approach haji kizembe.Mkuu umenielewa vibaya nilipo andika kwa Sasa ndoa si kitu muhimu tena kama zamani nilimaanisha hata hao wanaume wengi wao sio waoaji ni Wachezaji tukitaka kukosoa tukosoe pande zote mbili bila upendeleo.
Just strive to make your tommorrow better, kuwa serious na maisha yako uone kama hauta attract mwanaume kukujoin kwenye safari ya maisha yako.
Tatizo wanawake wa sikuhizi mpo kustareheshwa tu mnataka slope ya kila kitu, uhudumiwe wewe huna la ziada zaidi ya kukata viuno kitandani. Tatizo lazma liwepo